Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
 
Kwahiyo leo chama chetu kimemtuma akaeneze haya?
 
Naunga mkono hoja, sisi washauri wa bure, tuliisha mshauri awapuuze tuu hao chura na kelele zao kisimani, aendelee kuteka maji. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
P
 
Uenezi wa CHAMA au binafsi ... lol
 
Shetani anahimiza aombewe ili atende kazi yake ya uharibifu kwa ustadi mkubwa.

Samia ana malengo hasi na utulivu wa kisiasa na kiusalama
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…