Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Sijui kwanini ila sijawahi kuamini moja kwa moja chochote unachokisema.Naunga mkono hoja, sisi washauri wa bure, tuliisha mshauri awapuuze tuu hao chura na kelele zao kisimani, aendelee kuteka maji. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
P
Una dhihaka nyingi, ni wachache sana wanaelewa sarcasm zako.