Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Asipoombewa ni kitu gani kitatokea?Asipoombewa ni kitu gani kitatokea?
Swala la maombi si ni la binafsi?
Waombaji watafahamu vipi mahitaji yake huyo anaetakiwa kuombewa ?
Shetani katika umbo la binadamu. Huyu jamaa ni mkuu wa uovu. Ila kanisa analopewa ''mic'' ni hayo hayo ya wajasiriamali.Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
View attachment 3677555
Nashindwa kuelewaAsipoombewa ni kitu gani kitatokea?
Swala la maombi si ni la binafsi?
Waombaji watafahamu vipi mahitaji yake huyo anaetakiwa kuombewa ?@shesRise 2027. A.D๐
In fact waziri yuko sahihi 100%,Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
Akiguswa tu shoga yako Samia lazima uandike dibaji reeeeeeeefuuuuuuu shenzi kabisa wewe mwanamkeIn fact waziri yuko sahihi 100%,
Na kama kanisa,
lakini kama taifa la dini zote,tutamuombea Rais wetu kwa Mungu, amjalie ujasiri zaidi katika kipindi hiki kigumu anachopitia na hatimae akivuke salama na kuendelea na majukumu yake mazito na muhimu sana ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.
Na tutafanya kazi hiyo ya kiroho kizalendo na kwa bidii sana na ili hatimae mapepo ya kulaumu na kulalamika yaweze kushindwa ๐
Bwana mdogo huyu sasa ataingia utelezi wa kule watu wasikorudi.Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
Ndio hivyo yaani... Wakisema aombewe Kuna ambao wengine wanaamini in demons ,Sasa sijui hayo maombi yatafanyikaje...sema Africa ni kama tumelogwa na aloyetuloga alishakufa kitambo... Maendeleo na maombi ni vitu viwili tofauti sana.. nchi kama saudia au uae wangeamini katika kuswali sala Tano wasingekuwa hapo, nchi za Ulaya zote wangeamini katika kusali novena na rozaro wasingekuwa hapo walipo Sasa kwa kweli...Nashindwa kuelewa
Na sijawahi kuelewa mtu akisema
Et ,tumuombee sijui nani huko
Siasa na maombi wapi na wapi bro
Hapa ni kuleta ushahidi wa utetekezaji wa mahitaji ya wana nchi basi
Muovu anapolielekeza kanisa jinsi ya kuomba. Sijui kanisa linakwama wapi kumpa mtu muovu wa aina hiyo nafasi ya kuhutubia kwenye hafla za kanisa. Makonda anajali madaraka kukiko kitu chochote, hawezi kukubali kanisa kukemea uovo kwani uovu ukikomeshwa yeye atakosa madaraka.Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
Muuaji aombewe amekata tamaa, kwa Mungu hakuna msamaha kwa wauaji amri za Mungu zinasema USIUE, jisomee mwenyewe maandishi yako..In fact waziri yuko sahihi 100%,
Na kama kanisa,
lakini kama taifa la dini zote,tutamuombea Rais wetu kwa Mungu, amjalie ujasiri zaidi katika kipindi hiki kigumu anachopitia na hatimae akivuke salama na kuendelea na majukumu yake mazito na muhimu sana ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.
Na tutafanya kazi hiyo ya kiroho kizalendo na kwa bidii sana na ili hatimae mapepo ya kulaumu na kulalamika yaweze kushindwa ๐
muhalifu na mtuhumiwa uhaini aombewe pesa, msamaha au nini gentleman?
be specific,
kwa Mungu hakuna mbambamba kwa waliokosa utii kwa sheria na serikali za wanadamu zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.
Soma,
Warumi 13:1 na kuendelea na itakusaidia sana ๐
Mambo ya dini nayo ni kichaka tu cha ujinga hua nashangaa pia ooohNdio hivyo yaani... Wakisema aombewe Kuna ambao wengine wanaamini in demons ,Sasa sijui hayo maombi yatafanyikaje...sema Africa ni kama tumelogwa na aloyetuloga alishakufa kitambo... Maendeleo na maombi ni vitu viwili tofauti sana.. nchi kama saudia au uae wangeamini katika kuswali sala Tano wasingekuwa hapo, nchi za Ulaya zote wangeamini katika kusali novena na rozaro wasingekuwa hapo walipo Sasa kwa kweli...