Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani kwa mapenzi ya Mungu na mapenzi ya Mungu yatatimia tena kwani Dk Samia atashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025
Makonda amesema hana mashaka kuwa ushindi wa kishindo unakuja kwa Dk Samia, ameeleza kuwa anafahamu kuna maneno ya kuvunja moyo lakini kwakuwa ni mapenzi ya Mungu basi Samia atarudi tena Ikulu
Makonda amesema hana mashaka kuwa ushindi wa kishindo unakuja kwa Dk Samia, ameeleza kuwa anafahamu kuna maneno ya kuvunja moyo lakini kwakuwa ni mapenzi ya Mungu basi Samia atarudi tena Ikulu