Makonda sasa utujibu kuhusu sakata la Roma Mkatoliki

Unapenda kuandika insha,hukufunzwa kuandika muhtasari!?
 
..suluhisho la madai yako ni kuundwa kwa Tume ya Ukweli, Haki, na Maridhiano.
Tume Kama hii iliundwa afrika kusini na rwanda,lipi la uzito huo lililotokea hapa tz!?..maridhiano baina ya nani na nani!?
 
Tume Kama hii iliundwa afrika kusini na rwanda,lipi la uzito huo lililotokea hapa tz!?..maridhiano baina ya nani na nani!?

..maridhiano baina ya Watanzania wenyewe.

..Kuna matendo ya kikatili na kinyama yaliyofanywa na serikali dhidi ya wananchi.

..Kwa mfano, wapo Watanzania waliofia wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola.
 
..maridhiano baina ya Watanzania wenyewe.

..Kuna matendo ya kikatili na kinyama yaliyofanywa na serikali dhidi ya wananchi.

..Kwa mfano, wapo Watanzania waliofia wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola.
Huu upuuzi mzee
 
Makonda analindwa na Samia kwa sababu anazozijua yeye. Isingekuwa hilo ungekuta ameshafikishwa mahakamani siku nyingi. Huyu mshenzi ana madhambi mengi sana alitenda wakati wa Magufuli.
 
Muulize pia je, Tundu Lisu kupigwa risasi "selasini' anahusika?
 
Walipoza ukali ila ilitakiwa waseme MAKONDA NI MUUAJI
 
Mwendesha haya na baraka zote ni nani !
 
Kila awamu kuna watu wengi walipotea na wanaendelea kupotea na habari zao zinazimwa Kama Moshi, mfano mdogo kila siku ITV kwenye Kipindi cha YU WAPI wanatangaza watu waliopotea, kwa mwaka ni mamia ya watu, hawajawahi kuonekana na HAKUNA anaejali!!!

Lakini akipotea mtu kwenye kundi la walamba asali basi kila siku ni mikwala, hivi hao wanaotangazwa ITV na vyombo vingine vya habari kila siku kuwa wamepotea ni kuku?
 
Wananchi wanaelewa wazi kuwa alipigwa ban baada ya kunza kuwashughulikua rainbow wenzio. Hilo liko wazi acheni porojo
 
..mfano mmoja ni Abdulah Kassim Hanga na wenzake walivyopotea Zanzibar na hawajulikani walipo mpaka leo.

..mfano wa karibu ni shambulizi na mauaji ya mwanafunzi Akwilina Akwilini ambapo wahusika hawajakamatwa.
Huku ni kuokoteza hoja mzee
 
Utapiga kelele hizi mpaka unaota mvi kwenye makwapa!

Ukipata solution mimi nitakusik8a nikiwa hapahapa nilipo!

Enjoy kuchezea key-board!
 
Makonda analindwa na Samia kwa sababu anazozijua yeye. Isingekuwa hilo ungekuta ameshafikishwa mahakamani siku nyingi. Huyu mshenzi ana madhambi mengi sana alitenda wakati wa Magufuli.
Kwani Kubenea anasemaje??
 
Ila Mashoga mna hasira sana na Makonda!
 
Hivi Huyu Bwana si ndo alikuwa anasifia mauaji ya Kibiti ya wanachama wa CCM na viongozi wa Serikali, je Wale Wake na watoto zao nani atawaanzishia mikutano ya hadhara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…