Mimi ni
voicer of the Voiceless!
Nipo humu kitambo
sana,
Nimeongea sababu inakera kuona vijana kwa maelfu nchi hii,akili zao hazina uwezo wa kujenga sera badala yake tumebaki kurudia rudia vitu visivyoweza kubadili yaliyokwishstokea.
Twendeni tukajenge hoja vijana!
Twende tukawaelimishe wananchi madhara ya itawala wa CCM hadharani.
Twende tukwaeleze madhara ya ufisadi wa CCM.
Twende tukawaeleze madhara ya mikopo isiyo ratibiwa vizuri?
Tunakaa kugombana na Marehemu.
Tunakaa kuwatumia Marehemu kama mitaji yetu ya kisiasa?
Till when?¿