Makonda sasa utujibu kuhusu sakata la Roma Mkatoliki

Upinzani mmeshindwa kujitambua!

Chadema pia hamna sera zaidi ya kuendekeza visasi na majungu.

Waliposema siasa za mikutano ya hadhara,hawakusema kwenda kutungia watu tuhuma.

Kama mbazo tuhuma dhidi ya mtu yeyote,mahali pa kuzipeleka ni mahakamani.

Kuendelea kuchikonoa maisha ya watu,ni kuonyesha jinsi mlivyo wapuuzi.

Kubenea alikwenda mahakamani na kumshitak8 Makonda huyuhyu.
Je!alikosa ushahidi?

Muiteni Lissu na Lema,waje kufanya siasa,mtaji wao wa kuishi kwa kudanganya uongo wa kutishiwa maisha ulikwisha Expire.

Sasa mmepewa ruksa ya mikutano bado mnatafuta chokochoko zingine!

Aliyewaweka kijiweni for six good years alikwisha kufa.

Sasa mmejaa sumu na kila mmoja!

Hamuoni baadhi ya mliowachukia wakirudi kwenye ulingi kwa nguvu mpya kabisa.

Hii ni dalili ya kuwafanya muelewe kuna kwenda mbele kisiasa na pia kuna kurudi nyuma kimaisha.
Kila ubaya Utalipwa .
 
Wananchi wanaelewa wazi kuwa alipigwa ban baada ya kunza kuwashughulikua rainbow wenzio. Hilo liko wazi acheni porojo
Acha maneno ya vijiweni yasichote akili yako! Rainbow gani alikuwa anaipiga vita wakati yeye mwenyewe ni member bwana! Hebu tuacheni tusiingie huko!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2472935

Tuhuma zako ni nyingi sana kuwa umeshiriki utekaji, mateso na hata uuaji. Pengine hizi tuhuma ni kweli au pia sio kweli. Lakini mwenye majibu kamili ni wewe mwenyewe.

Sasa tuambie ukweli, wakati watu wamejawa na mashaka kuwa Roma Mkatoliki ndio ametoweshwa kabisa kama Ben Saanane ulijitokeza na kusema atarejea Jumapili (kama vile alikuwa nyumbani kwako) na kweli alirudi.

Tuambie tena jee kina Saanane na Azory kwa nini nao hawakurudi "Jumapili" kama mwenzao?
Usione tuko kimya tuna majonzi makubwa mno.

Ili hayo yasiibuke tena kwenye hii mikutano ya kisiasa inayoanza tena nakushauri wahi kujibu tuhuma hizo na kama unasingiziwa lakini unaujua ukweli uweke wazi

Muda ukitimia atasema tu kwa hiari ama kwa lazima
 
Hivi Huyu Bwana si ndo alikuwa anasifia mauaji ya Kibiti ya wanachama wa CCM na viongozi wa Serikali, je Wale Wake na watoto zao nani atawaanzishia mikutano ya hadhara?
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuipinga Ile operation ya kibiti. Maana bila huyo msingekuwa mnalala fofofo uku ushuzi ukiwatoka
 
View attachment 2472935

Tuhuma zako ni nyingi sana kuwa umeshiriki utekaji, mateso na hata uuaji. Pengine hizi tuhuma ni kweli au pia sio kweli. Lakini mwenye majibu kamili ni wewe mwenyewe.

Sasa tuambie ukweli, wakati watu wamejawa na mashaka kuwa Roma Mkatoliki ndio ametoweshwa kabisa kama Ben Saanane ulijitokeza na kusema atarejea Jumapili (kama vile alikuwa nyumbani kwako) na kweli alirudi.

Tuambie tena jee kina Saanane na Azory kwa nini nao hawakurudi "Jumapili" kama mwenzao?
Usione tuko kimya tuna majonzi makubwa mno.

Ili hayo yasiibuke tena kwenye hii mikutano ya kisiasa inayoanza tena nakushauri wahi kujibu tuhuma hizo na kama unasingiziwa lakini unaujua ukweli uweke wazi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Roma Mkatoliki alitekwa.
Pia Mrisho Gambo anasema kuna watu wanamfuata huku wameshikilia samli mkononi.
 
View attachment 2472935

Tuhuma zako ni nyingi sana kuwa umeshiriki utekaji, mateso na hata uuaji. Pengine hizi tuhuma ni kweli au pia sio kweli. Lakini mwenye majibu kamili ni wewe mwenyewe.

Sasa tuambie ukweli, wakati watu wamejawa na mashaka kuwa Roma Mkatoliki ndio ametoweshwa kabisa kama Ben Saanane ulijitokeza na kusema atarejea Jumapili (kama vile alikuwa nyumbani kwako) na kweli alirudi.

Tuambie tena jee kina Saanane na Azory kwa nini nao hawakurudi "Jumapili" kama mwenzao?
Usione tuko kimya tuna majonzi makubwa mno.

Ili hayo yasiibuke tena kwenye hii mikutano ya kisiasa inayoanza tena nakushauri wahi kujibu tuhuma hizo na kama unasingiziwa lakini unaujua ukweli uweke wazi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
CCM inakuthamini kama una tuhuma za kutosha kwenye eneo la haki za binadamu
 
Sasa ni mwenezi!
Ili aeneze ushetani wa kutesa, kuteka na kuua watu. Laana ya Mungu wetu, tunaomba itembee naye kutokana na damu zinazomlilia.
 
Back
Top Bottom