Makonda: Serikali imeanza Mchakato wa Uraia Kwa Clatous Chama

Muafrika anajikutaka anajua kila kitu ndio maana wanapigana kila mahali..congo,uganda,rwanda,south Afrika n.k ujuaji wa ujinga na upumbavu na niwapingaji wa kila kitu...jamii yenye laana hivi
Ningekuwa huru.. i could a best president ever
 
Kwani Chama kakubali kukana uraia wake, au atakua na uraia wa nchi mbili au ni amri??
 
We jamaaaa 😂
Makonda anazingua. Halafu bora hata Chama angekuwa kwenye 20s ndo ampe uraia. Mtu kashavuka 35 wa kazi gani? Pia Chama huko kwao anapendwa na kawekeza vya kutosha halafu nchi yao ina amani. Hawezi hata kuwa na wazo la kuchukua uraia kwingine.
 
Huyo CHAMA kawaambia anataka huo URAIA????
 
Mambo rahisi kabisa wala sio ya kufanya kuwa ajenda kwenye taifa
 
Chama alitakiwa kufanyiwa process za kuwa Mtanzania enzi akiwa kijana mdogo Leo Chama ana 35+ wa Nini?
 
Hili jamaa ni zuzu mpaka linatia kinyaa
 
Useless minister of all the time.
 
Kwahiyo na okello nae watamuombea uraia,si bora wampe chirwa ambae amewekeza kwenye mashamba na maghorofa mengi tu nchini
 
Kama Damaro na wenzake walipewa zawadi ya uraia hali ya kuwa wamechezea timu zao za Taifa vipi ishindikane kwa Chama?
Naye mwacheni azawadiwe uraia hata kama hatacheza timu yetu ya Taifa kama Akina Damaro:
 
Kwani huyu kuna sehemu amewahi kuwa nazo? twende ane huvyohivyo tuu
 
Huo uraia ameomba mwenye kuonesha loyalty au sisi ndo tunamuomba tumpe uraia,pili vipi ishu ya umri wake atatumika kwa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…