Kweli nimeamini huyu Makonda alipata div 0. Huu upuuzi anaozungumza hoja za kijiweni kabisa ndiyo anataka mdahalo na Lissu?
Eti ndio hoja za katibu Mwenyezi wa chama Dola!!Propaganda za kuwadanganya CCM wenzake
Huyu Mbwiga anachuki na Mbowe hajui kama Mbowe kazaliwa ndani ya utajiri.Mbowe uchumi kwao upo kitambo sana, yeye kujenga Kasri ni jambo la kawaida.
Nimesikia sana hili jambo, Lina ukweli?Mbowe ni Kijana wa Mwalimu Nyerere 😂
Sio kweli kwa nini hakujenga hiyo kasri kabla ya kujiunga na siasa?Mbowe uchumi kwao upo kitambo sana, yeye kujenga Kasri ni jambo la kawaida.
HIZI NI SIASA ZA KUCHAFUANA TU.
KaziKwelikweli/JobTrueTrue
Sio kweli aweke statement hapa hele aliyoikuta ya urithiHuyu Mbwiga anachuki na Mbowe hajui kama Mbowe kazaliwa ndani ya utajiri.
Wakati Mzee Mbowe anazitafuta Shilingi Baba zenu walikuwa wanashinda kwenye Bao na kunywa Kahawa.Sio kweli aweke statement hapa hele aliyoikuta ya urithi
Mwalimu Nyerere ni baba wa ubatizo wa Freeman MboweNimesikia sana hili jambo, Lina ukweli?
We mwenye div 1 umejificha nyuma ya keyboardKweli nimeamini huyu Makonda alipata div 0. Huu upuuzi anaozungumza hoja za kijiweni kabisa ndiyo anataka mdahalo na Lissu?
Sahihi mtoto wa nje wa Nyerere angalia hata sura Nyerere mtupu kuanzia usoMbowe ni Kijana wa Mwalimu Nyerere 😂
Huo utajiri unatokana na kitu gani??Mbowe siyo mgeni na utajiri
Yeye mwenyewe siasa uongozi umemlipa
Ana Mali kadhaa na zote hizo hazijatokana
Na mshahara
Ova