Pre GE2025 Makonda: Siasa imemlipa Mbowe kajenga kasri

Pre GE2025 Makonda: Siasa imemlipa Mbowe kajenga kasri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwalimu Nyerere ni baba wa ubatizo wa Freeman Mbowe
Mmmm Nyerere katoliki Mbowe walutheri hakuna baba wa ubatizo hapo Freeman Mbowe baba yake mzazi ni Nyerere

Zilikuwa fix tu kuficha .Katoliki hawezi kuwa baba wa ubatizo wa Mlutheri and vise versa

Viongozi wa dini wa katoliki na Lutheran ndio wanajua hiyo siri
 
CCM bado inafikiri wananchi bado ni màbumunda sana
 
Angejenga yeye nadhani ndiyo ilibidi awaambie anaowaambia haya ili waondoe wasiwasi juu yake siyo kwa Mbowe.
 
Wakati Mzee Mbowe anazitafuta Shilingi Baba zenu walikuwa wanashinda kwenye Bao na kunywa Kahawa.

Halafu leo mnakuja kuleta ubishi.
Haluna lolote,acheni uwongo ,mbowe amejenga kasri kutokana na siasa
 
Badala ya kushughulika na matatizo ya msingi wao wanaleta vihoja majukwaani, watatukuta na dalili zitaoneka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
..Bashite anataka kulala kwa Mbowe?

..yaani ampelekee yale makalio yake makubwa.

..kwani Mbowe ana michezo hiyo?
 
Eidha unachuki binafsi au umezaliwa juzi juzi kati.
Hebu tuonyeshe au tutajie ASSET za mzee Mbowe Dar es salaam ukitoka bilicana ambayo ilikuwa nyumba ya NATIONAL HOUSING
 
Mbowe uchumi kwao upo kitambo sana, yeye kujenga Kasri ni jambo la kawaida.

HIZI NI SIASA ZA KUCHAFUANA TU.

KaziKwelikweli/JobTrueTrue
Mkuu tuonyeshe utajiri wa Mbowe hapa Tanzania ukiacha nyumba yao ya kulala waliyogeuza HOME HOTEL
 
Chadema kwa sasa hawana hoja yoyote wanayoweza kusimama nayo kwenye mdahalo
 
Mwalimu Nyerere ni baba wa ubatizo wa Freeman Mbowe
Nchi hii ina Siri nyingi mno muda mchache Nyerere katoloki Mbowe familia Yao walutheri hakuna kiongozi yeyote wa dini hizo mbili aweza kubali mtoto mbatizwa Mlutheri baba ubatizo awe mkatoliki au mtoto mbatizwa mkatoliki baba wa ubatizo awe Mlutheri

Nakubali Nyerere mkatoliki alikuwa baba wa Ubatizo wa Freeman Mbowe Mlutheri

Ukiambiwa dini kubwa ni zaidi ya uzijuazo sio utani

Naongea hivi nikiwa na uchungu

Wataka kujitosa maandamano watoto wa maskini msije vunjwa miguu Bure Kwa msiyoyajua

Usilolijua ni kama Usiku wa Giza ukijitosa kichwa kichwa waweza umia familia mwandamanaji maandamano pigwa marufuku Yeye ndio waweza umia na familia yake bure
 
Back
Top Bottom