Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Zezeta at his best. Hivi ni kweli hajui maana ya demokrasia au kavimbewa hela za ufisadi?Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine huku akieleza kuwa taifa hili limetoa mchango mkubwa na wa gharama katika kujenga misingi imara ya kidemokrasia tangu enzi za Baba wa Taifa.
Katika mchango wake Bungeni jijini Dodoma Waziri Makonda amewataka wale wote wanaohoji hali ya demokrasia nchini kutambua kuwa Tanzania imewekeza nguvu nyingi na kuwapa hifadhi wageni wengi waliokuwa wakipigania uhuru wao jambo linalothibitisha kuwa nchi hii ni mama wa demokrasia ambaye amekuwa mstari wa mbele kuwasaidia wengine kufikia ndoto zao za kujitawala.
Kutokana na msingi huo madhubuti waziri amesema kuwa hakuna yeyote anayepaswa kutilia shaka mwelekeo wa demokrasia nchini Tanzania kwani nchi imejijengea heshima kubwa kimataifa kupitia juhudi zake endelevu za kulinda na kutetea mafanikio hayo ya kidemokrasia kwa ajili ya wananchi wake na maendeleo ya bara la Afrika kwa ujumla.
View attachment 3613719
Kihistoria, hoja ya waziri iko sahihi 100%. Chini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa makao makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika (OAU Liberation Committee). Nchi ilijitoa mhanga kiuchumi, kijeshi, na kijamii kuwapa hifadhi na mafunzo wapigania uhuru (kama kina Nelson Mandela, Samora Machel, na Robert Mugabe).Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine huku akieleza kuwa taifa hili limetoa mchango mkubwa na wa gharama katika kujenga misingi imara ya kidemokrasia tangu enzi za Baba wa Taifa.
Katika mchango wake Bungeni jijini Dodoma Waziri Makonda amewataka wale wote wanaohoji hali ya demokrasia nchini kutambua kuwa Tanzania imewekeza nguvu nyingi na kuwapa hifadhi wageni wengi waliokuwa wakipigania uhuru wao jambo linalothibitisha kuwa nchi hii ni mama wa demokrasia ambaye amekuwa mstari wa mbele kuwasaidia wengine kufikia ndoto zao za kujitawala.
Kutokana na msingi huo madhubuti waziri amesema kuwa hakuna yeyote anayepaswa kutilia shaka mwelekeo wa demokrasia nchini Tanzania kwani nchi imejijengea heshima kubwa kimataifa kupitia juhudi zake endelevu za kulinda na kutetea mafanikio hayo ya kidemokrasia kwa ajili ya wananchi wake na maendeleo ya bara la Afrika kwa ujumla.
View attachment 3613719
Baba gani wakati Tanzania kuna mama wa demokrasia?Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine huku akieleza kuwa taifa hili limetoa mchango mkubwa na wa gharama katika kujenga misingi imara ya kidemokrasia tangu enzi za Baba wa Taifa.
Katika mchango wake Bungeni jijini Dodoma Waziri Makonda amewataka wale wote wanaohoji hali ya demokrasia nchini kutambua kuwa Tanzania imewekeza nguvu nyingi na kuwapa hifadhi wageni wengi waliokuwa wakipigania uhuru wao jambo linalothibitisha kuwa nchi hii ni mama wa demokrasia ambaye amekuwa mstari wa mbele kuwasaidia wengine kufikia ndoto zao za kujitawala.
Kutokana na msingi huo madhubuti waziri amesema kuwa hakuna yeyote anayepaswa kutilia shaka mwelekeo wa demokrasia nchini Tanzania kwani nchi imejijengea heshima kubwa kimataifa kupitia juhudi zake endelevu za kulinda na kutetea mafanikio hayo ya kidemokrasia kwa ajili ya wananchi wake na maendeleo ya bara la Afrika kwa ujumla.
View attachment 3613719
Labda haujui maana ya democracyKihistoria, hoja ya waziri iko sahihi 100%. Chini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa makao makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika (OAU Liberation Committee). Nchi ilijitoa mhanga kiuchumi, kijeshi, na kijamii kuwapa hifadhi na mafunzo wapigania uhuru (kama kina Nelson Mandela, Samora Machel, na Robert Mugabe).
Kwa muktadha huo, waziri anamaanisha kuwa nchi iliyomwaga damu na kutoa mali zake ili mataifa mengine yapate haki ya kujitawala na kuwa na sauti (ambayo ndio msingi wa demokrasia), haiwezi kufundishwa demokrasia hiyo na mataifa ya nje. Japo mtazamo huo kwa sasa umepitwa na wakati na wao maccm wameshindwa kuiishi kikamilifu. CCM ya sasa ina matendo mengi ya kihuni ambayo hayafai kuigwa na kizazi cha sasa cha watoto wa afu 2
very true statement by waziri Makonda ๐ฅWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine huku akieleza kuwa taifa hili limetoa mchango mkubwa na wa gharama katika kujenga misingi imara ya kidemokrasia tangu enzi za Baba wa Taifa.
Katika mchango wake Bungeni jijini Dodoma Waziri Makonda amewataka wale wote wanaohoji hali ya demokrasia nchini kutambua kuwa Tanzania imewekeza nguvu nyingi na kuwapa hifadhi wageni wengi waliokuwa wakipigania uhuru wao jambo linalothibitisha kuwa nchi hii ni mama wa demokrasia ambaye amekuwa mstari wa mbele kuwasaidia wengine kufikia ndoto zao za kujitawala.
Kutokana na msingi huo madhubuti waziri amesema kuwa hakuna yeyote anayepaswa kutilia shaka mwelekeo wa demokrasia nchini Tanzania kwani nchi imejijengea heshima kubwa kimataifa kupitia juhudi zake endelevu za kulinda na kutetea mafanikio hayo ya kidemokrasia kwa ajili ya wananchi wake na maendeleo ya bara la Afrika kwa ujumla.
umesoma mpaka mwisho kijana ?Labda haujui maana ya democracy
umesoma mpaka mwisho kijana ?
Rudi shule hata memkwa , bado haujachelewaumesoma mpaka mwisho kijana ?
Kweli Ccm ni wajinga. Bashite ana akili timamu?Kihistoria, hoja ya waziri iko sahihi 100%. Chini ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa makao makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika (OAU Liberation Committee). Nchi ilijitoa mhanga kiuchumi, kijeshi, na kijamii kuwapa hifadhi na mafunzo wapigania uhuru (kama kina Nelson Mandela, Samora Machel, na Robert Mugabe).
Kwa muktadha huo, waziri anamaanisha kuwa nchi iliyomwaga damu na kutoa mali zake ili mataifa mengine yapate haki ya kujitawala na kuwa na sauti (ambayo ndio msingi wa demokrasia), haiwezi kufundishwa demokrasia hiyo na mataifa ya nje. Japo mtazamo huo kwa sasa umepitwa na wakati na wao maccm wameshindwa kuiishi kikamilifu. CCM ya sasa ina matendo mengi ya kihuni ambayo hayafai kuigwa na kizazi cha sasa cha watoto wa afu 2
Hawa watu wana dunia yao special wanaishi ambayo wananchi hawaishi humoWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine huku akieleza kuwa taifa hili limetoa mchango mkubwa na wa gharama katika kujenga misingi imara ya kidemokrasia tangu enzi za Baba wa Taifa.
Katika mchango wake Bungeni jijini Dodoma Waziri Makonda amewataka wale wote wanaohoji hali ya demokrasia nchini kutambua kuwa Tanzania imewekeza nguvu nyingi na kuwapa hifadhi wageni wengi waliokuwa wakipigania uhuru wao jambo linalothibitisha kuwa nchi hii ni mama wa demokrasia ambaye amekuwa mstari wa mbele kuwasaidia wengine kufikia ndoto zao za kujitawala.
Kutokana na msingi huo madhubuti waziri amesema kuwa hakuna yeyote anayepaswa kutilia shaka mwelekeo wa demokrasia nchini Tanzania kwani nchi imejijengea heshima kubwa kimataifa kupitia juhudi zake endelevu za kulinda na kutetea mafanikio hayo ya kidemokrasia kwa ajili ya wananchi wake na maendeleo ya bara la Afrika kwa ujumla.
Kajifunze maana ya democracy chawa weweWeka mawazo yako humo ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐ฎ๐ฎ๐ฎ halafu pita๐๐๐๐๐
Ukitumia AI na uwe na akili timamuMido finga inakuhusu
jifunze kusoma kwa ufahamu
Aliyepigania uhuru ndio huyo kaweka uchaguzi wa yeye na kivuli, democracy ya mpitimbiDuh,
Wale wanaosema Daudi Albert Bashite aliiba jina na cheti cha Paul Makonda wana hoja, wasikilizwe. Hajui kwamba kupigania uhuru na Demokrasia ni vitu viwili tofauti kabisa!