Akili yangu inaniambia Demokracy ni mfumo wa utawala unayozaliwa ndani ya nchi husika kulingana na utamaduni, mahitaji ya watu wake, na jinsi unavyomletea mlalahoi maendeleo halisi ya kiuchumi, sio tu maneno ya kwenye karatasi na uhuru wa kupiga piga makelele yasiyo na msingi.
Kuna mwingine anataka aachwe afanye demokrasia ya kwake etyWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine huku akieleza kuwa taifa hili limetoa mchango mkubwa na wa gharama katika kujenga misingi imara ya kidemokrasia tangu enzi za Baba wa Taifa.
Katika mchango wake Bungeni jijini Dodoma Waziri Makonda amewataka wale wote wanaohoji hali ya demokrasia nchini kutambua kuwa Tanzania imewekeza nguvu nyingi na kuwapa hifadhi wageni wengi waliokuwa wakipigania uhuru wao jambo linalothibitisha kuwa nchi hii ni mama wa demokrasia ambaye amekuwa mstari wa mbele kuwasaidia wengine kufikia ndoto zao za kujitawala.
Kutokana na msingi huo madhubuti waziri amesema kuwa hakuna yeyote anayepaswa kutilia shaka mwelekeo wa demokrasia nchini Tanzania kwani nchi imejijengea heshima kubwa kimataifa kupitia juhudi zake endelevu za kulinda na kutetea mafanikio hayo ya kidemokrasia kwa ajili ya wananchi wake na maendeleo ya bara la Afrika kwa ujumla.
Unaweza kupigana Uhuru alafu ukanzisha mfumo wa udiktetaAliyepigania uhuru ndio huyo kaweka uchaguzi wa yeye na kivuli, democracy ya mpitimbi
Kwa kweli nimesoma ulichoandika ila nimeshindwa kung'amua chochote.Kwa hiyo unataka kusema demokracy inazuia maendeleo? Sio kwa hiyo nchi ambazo hazina demokracy zimeendelea sana
Sasa aibu yote unaipata Kwa ubishi wako wa kijinga KUBALI wewe na bashite ni sawaNi akili zako zinakwambia hawakuwa na democracy au umelishwa propaganda za watu kwamba hawakuwa na democracy ?
Nilishakubali tangu mchana.Sasa aibu yote unaipata Kwa ubishi wako wa kijinga KUBALI wewe na bashite ni sawa
Wewe unaaminije hiyo akili yako huoni inakuabisha sasa ?Akili yangu inaniambia Demokracy ni mfumo wa utawala unayozaliwa ndani ya nchi husika kulingana na utamaduni, mahitaji ya watu wake, na jinsi unavyomletea mlalahoi maendeleo halisi ya kiuchumi, sio tu maneno ya kwenye karatasi na uhuru wa kupiga piga makelele yasiyo na msingi.
Nyie wajinga LAZIMA mkumbushwe mchana na usiku maana ni aibu hata Kwa taifa letuNilishakubali tangu mchana.
Wewe ulikuwa wapi mdogo wangu au ndio mnafanyishwa kazi kama mbwa?
Wajinga tuanze kupigwa mawe hadharani au vip.Nyie wajinga LAZIMA mkumbushwe mchana na usiku maana ni aibu hata Kwa taifa letu
Wewe unafikiri wageni wa nje wakiona hii michango yako tutaonekanaje kama taifa ?
Huyu tacle anaongea niniWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine huku akieleza kuwa taifa hili limetoa mchango mkubwa na wa gharama katika kujenga misingi imara ya kidemokrasia tangu enzi za Baba wa Taifa.
Katika mchango wake Bungeni jijini Dodoma Waziri Makonda amewataka wale wote wanaohoji hali ya demokrasia nchini kutambua kuwa Tanzania imewekeza nguvu nyingi na kuwapa hifadhi wageni wengi waliokuwa wakipigania uhuru wao jambo linalothibitisha kuwa nchi hii ni mama wa demokrasia ambaye amekuwa mstari wa mbele kuwasaidia wengine kufikia ndoto zao za kujitawala.
Kutokana na msingi huo madhubuti waziri amesema kuwa hakuna yeyote anayepaswa kutilia shaka mwelekeo wa demokrasia nchini Tanzania kwani nchi imejijengea heshima kubwa kimataifa kupitia juhudi zake endelevu za kulinda na kutetea mafanikio hayo ya kidemokrasia kwa ajili ya wananchi wake na maendeleo ya bara la Afrika kwa ujumla.
Mzee Six ndiye alimvua ubingwa.Makonda(Bashite) anafi*rwa.
Baba mkwe wangu mbona mnampachika kisanga cha umende japo Bashite kwamba ni ***** hilo liko wazi na halina ubishi.Mzee Six ndiye alimvua ubingwa.
Apia japo kwa jina lako tujue kama ni kweli au laa!Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine huku akieleza kuwa taifa hili limetoa mchango mkubwa na wa gharama katika kujenga misingi imara ya kidemokrasia tangu enzi za Baba wa Taifa.