min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kupigania uhuru ndio democracy? Sina mudi ya kutukanana na kiazi kama wewe , jibu swaliMido finga inakuhusu
jifunze kusoma kwa ufahamu
Kupigania uhuru ndio democracy? Sina mudi ya kutukanana na kiazi kama wewe , jibu swaliMido finga inakuhusu
jifunze kusoma kwa ufahamu
Amed Ben bela, Fidel Castro ,Robert mugabe walipigania uhuru lakini hawakuwa na democracy kwenye utawala wao unajua kwa nini?kwa ulofa wako, democracy ni nini ?
Ni akili zako zinakwambia hawakuwa na democracy au umelishwa propaganda za watu kwamba hawakuwa na democracy ?Amed Ben bela, Fidel Castro ,Robert mugabe walipigania uhuru lakini hawakuwa na democracy kwenye utawala wao unajua kwa nini?
Akili yako inakuambia democracy ni nini? Na hilo neno democracy akili yako imelitoa wapi mpaka ikuambie?Ni akili zako zinakwambia hawakuwa na democracy au umelishwa propaganda za watu kwamba hawakuwa na democracy ?
Akili yangu inaniambia Demokracy ni mfumo wa utawala unayozaliwa ndani ya nchi husika kulingana na utamaduni, mahitaji ya watu wake, na jinsi unavyomletea mlalahoi maendeleo halisi ya kiuchumi, sio tu maneno ya kwenye karatasi na uhuru wa kupiga piga makelele yasiyo na msingi.Akili yako inakuambia democracy ni nini? Na hilo neno democracy akili yako imelitoa wapi mpaka ikuambie?
Democracy (demokrasia) ni mfumo wa utawala ambapo mamlaka ya mwisho yapo kwa wananchi. Wananchi hushiriki kuchagua viongozi wao na wana haki ya kushiriki katika maamuzi ya nchi.Akili yangu inaniambia Demokracy ni mfumo wa utawala unayozaliwa ndani ya nchi husika kulingana na utamaduni, mahitaji ya watu wake, na jinsi unavyomletea mlalahoi maendeleo halisi ya kiuchumi, sio tu maneno ya kwenye karatasi na uhuru wa kupiga piga makelele yasiyo na msingi.
akili yangu inaniambia kuwa democracy haina "formula" moja ya kufanana duniani kote na pia duniani hakuna nchi ambayo wananchi wana mamlaka kamili ya kufanya maamuzi ya nchi yao. hata kwenye mataifa makubwa yanayojifanya viranja wa democracy duniani bado tunaona maamuzi ya nchi yanafanywa na vikundi vya watu wachache wenye meno.Democracy (demokrasia) ni mfumo wa utawala ambapo mamlaka ya mwisho yapo kwa wananchi. Wananchi hushiriki kuchagua viongozi wao na wana haki ya kushiriki katika maamuzi ya nchi.
Sifa kuu za democracy
Uchaguzi huru na wa haki.
Wananchi kuwa na haki ya kupiga kura.
Uhuru wa kutoa maoni na kukosoa serikali.
Utawala wa sheria (hakuna aliye juu ya sheria).
Haki za binadamu kulindwa.
Uwepo wa ushindani wa kisiasa na vyama vya siasa.
Demos = watu/wananchi.
Kratos = nguvu/mamlaka.
Democracy hilo neno tu, linatafsiri yake ya kigiriki ambayo imekamilika labda akili yako inakuambia kitu kingne tofauti na Democracy.akili yangu inaniambia kuwa democracy haina "formula" moja ya kufanana duniani kote na pia duniani hakuna nchi ambayo wananchi wana mamlaka kamili ya kufanya maamuzi ya nchi yao. hata kwenye mataifa makubwa yanayojifanya viranja wa democracy duniani bado tunaona maamuzi ya nchi yanafanywa na vikundi vya watu wachache wenye meno.
kuwa serious mzee wa vyombo.Democracy hilo neno tu, linatafsiri yake ya kigiriki ambayo imekamilika labda akili yako inakuambia kitu kingne tofauti na Democracy.
Norwaykuwa serious mzee wa vyombo.
hiyo tafsiri ya democracy kwa mujibu wa wagiriki nafikiri kwa sasa labda sehemu pekeee unaweza kuipata ni kwenye darasa tena la wanafunzi tena wa shule ya msingi maana kwa sasa hata ngazi ya familia huwezi kukuta hiyo direct democracy na hakuna tena nchi yoyote duniani inayo practise real democracy kwa misingi ile ya kigiriki ambayo wewe unataka kutuaminisha ipo wakati haipo.
katika nchi ulizotaja hakuna hata moja inayo practise the real ancient greek democracy. kama wewe umetoka nje ya Tanzania lakini bado upo kwenye hiyo illusion basi hakuna umuhimu wa kutoka nje ya Tanzania.Norway
Denmark
Sweden
Finland
Iceland
Switzerland
New Zealand
Canada
Netherlands
Germany
Ulishawahi toka hapo Tanzania ukatembea hata kidogo?
Ndio maana niliona kama umetoa mido finga mapema na kwa kupanic sana , tumeenda taratibu sasa umeanza kulewakuwa serious mzee wa vyombo.
hiyo tafsiri ya democracy kwa mujibu wa wagiriki nafikiri kwa sasa labda sehemu pekeee unaweza kuipata ni kwenye darasa tena la wanafunzi tena wa shule ya msingi maana kwa sasa hata ngazi ya familia huwezi kukuta hiyo direct democracy na hakuna tena nchi yoyote duniani inayo practise real democracy kwa misingi ile ya kigiriki ambayo wewe unataka kutuaminisha ipo wakati haipo.
Basi tufanye democracy ni kupigania uhuru basi upo sahihi.katika nchi ulizotaja hakuna hata moja inayo practise the real ancient greek democracy. kama wewe umetoka nje ya Tanzania lakini bado upo kwenye hiyo illusion basi hakuna umuhimu wa kutoka nje ya Tanzania.
pale kwenye mido finga nilifuata nyayo zako baada ya wewe kuja na lugha chafu. Otherwise amani na upendo vitawale.Ndio maana niliona kama umetoa mido finga mapema na kwa kupanic sana , tumeenda taratibu sasa umeanza kulewa
Kwenda memkwa sio lugha chafu, nilitaka kukuonyesha kuwa unapaswa ujifunze zaidi kuhusu democracy, mimi hata ukitukana hakuna shida , nikijisikia pia narudisha nikiamua pia navunga nakuelewesha kama hivipale kwenye mido finga nilifuata nyayo zako baada ya wewe kuja na lugha chafu. Otherwise amani na upendo vitawale.
Tatizo yanayofundishwa darasani na uhalisia ni vitu viwili tofautiiHivi demokrasia ni nini? Naona Kuna haja watanzania tupate elimu ya nini maana ya demokrasia, tukishaelewa nini maana yake ndo Sasa tutajua nani anayeongoza Kwa demokrasia hapa Afrika.
sawa umeshinda na upo sahihiKwenda memkwa sio lugha chafu, nilitaka kukuonyesha kuwa unapaswa ujifunze zaidi kuhusu democracy, mimi hata ukitukana hakuna shida , nikijisikia pia narudisha nikiamua pia navunga nakuelewesha kama hivi