Makonda: Tanzania ndiyo Baba na Mama wa demokrasia Afrika

Makonda(Bashite) anafi*rwa.
 
Mdomo ukijaa mafuta lazima utaona Tanzania ni baba wa demokrasia. Sio kosa lake; ni mdomo tu umemjaa mafuta ndio maana anaropoka ovyo. Atateteaje demokrasia wakati ubunge wake ameupata kwa mabavu bila kuchaguliwa? Anafahamu maana ya demokrasia au anajiropokea tu kama mwehu?
 
ukisikia wazimu ndio huu, kwahiyo makonda ni waziri washeria na katiba?
 
Akili ziko kwenye Nyashi
 
Atofautishe kati ya demokrasia na kusaidia nchi nyingi za africa kujitawala. Unaweza kuwa huna demokrasia nchini mwako,lakini ukasaidia wengine kujitawala. Alafu tangu lini waziri wa michezo anazungumzia demokrasia?
 
Huyu zwazwa kweli kweli mnaiba uchaguzi wote, mnateka, mnatesa , mnapoteza na kuua wapinzani ili muendelee kutawala hiyo ndiyo demokrasia kweli? Huyu anaongea kana kwamba tuko zama za giza kiasi kwamba yanayotendeka Tanzania nchi nyingine haziyaoni, anatoa utopolo huu na mazwazwa wenzake wanamshangilia. Atakuwa anatumia makebo yake kufikiri.
 
Upupu uliouandika na maana ya neno demokrasia(democracy) ni vitu viwili tofauti kabisa, havishabihiani hata chembe.
 

Hayo mauzauza unayoyaita 'akili yako' inavyokwambia na maana halisi ya neno demokrasia(democracy) havifanani hivyo tafuta muda uielimishe hiyo akili yako.
 
β€œTunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matalajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa”.

Mwalimu JK Nyerere
 
Hivi akili za huyu Bashite uwaga ziko matakoni nini?? Ana very poor reasoning. Na sasa hivi linanenepeana hadi uko kwenye matako na miguu yake yote ya kushoto, anaijua demokrasia huyu kenge.
 

nakubaliana na Makonda maana "democracy is by the people for the people"... nyie wenye hasira naye inabidi mkae chini muelewe hawa "people" wanaongelewa ni akina nani kwanza kabla glucose hazijawapanda?
 

..Makonda ni kama anawabagaza Waafrika waliokimbilia Tanzania kutafuta hifadhi wakati wa kupigania uhuru wa nchi zao.

..Na Tanzania hatukuwa nchi pekee tuliofanya tuliopokea na kuhifadhi wapigania uhuru.

..Nchi zote za Kusini mwa Afrika zilitoa hifadhi kwa namna moja au nyingine kwa wapigania uhuru.

..Kuzungumza kana kwamba ni Tanzania peke yake ndio ilijitoa, au ilikomboa Waafrika toka ktk makucha ya Wakoloni, sio sahihi.
 
Takataka uchafu na uchawa. Uongo mtupu. Kuna demokrasia au demonkrasia? Tanzania ni baba na mama wa uchawa na uuaji mbali na ubabaishaji.
 
Upo sahihi.
Makonda ni mpotoshaji mkubwa kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…