Makonda: Tanzania ndiyo Baba na Mama wa demokrasia Afrika

Pascal Mayalla naona ame- LIKE - thread hii...!!!?
 
Kwa hiyo unataka kusema demokracy inazuia maendeleo? Sio kwa hiyo nchi ambazo hazina demokracy zimeendelea sana
 
Kuna mwingine anataka aachwe afanye demokrasia ya kwake ety

Demokrasia Ina misingi yake ambayo ukitoka haiwi Tena demokrasia

Twende TU
 
Wewe unaaminije hiyo akili yako huoni inakuabisha sasa ?
 
Nilishakubali tangu mchana.

Wewe ulikuwa wapi mdogo wangu au ndio mnafanyishwa kazi kama mbwa?
Nyie wajinga LAZIMA mkumbushwe mchana na usiku maana ni aibu hata Kwa taifa letu
Wewe unafikiri wageni wa nje wakiona hii michango yako tutaonekanaje kama taifa ?
 
Nyie wajinga LAZIMA mkumbushwe mchana na usiku maana ni aibu hata Kwa taifa letu
Wewe unafikiri wageni wa nje wakiona hii michango yako tutaonekanaje kama taifa ?
Wajinga tuanze kupigwa mawe hadharani au vip.
 
Huyu tacle anaongea nini
 
Apia japo kwa jina lako tujue kama ni kweli au laa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…