Makonda: Tanzania ndiyo Baba na Mama wa demokrasia Afrika

Wanasema yeye ndiye alianzisha mwendo kisha akawaachia wengine
Mzee enzi hizo alikuwa baba mkwe na alikuwa peace kinoma kumbe dah alikuwa anakula ndogo vijana wanaotafuta fursa kiulaini, kwahiyo bwabwa manii ya Kinyamwezi ndiyo yamelifanya limekuwa punga kudata.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Hao wehu mkiwasikiliza hukobinatosha sioniuja kutujazia server humu
 
Anatombw@ na fisi wa gamboshi ***** huyo
 
Tofauti kati ya harakati za kudai uhuru na demokrasia ni ardhi na mbengo
 
Tuhoji ni kwanini bashite anapanua makalio badala ya bongo au kuna kitu kinaingia au kuingizwa humo. Mie wanangu sielewi kwa murume kujuza makalio badala ya misuli.
 
Hivi demokrasia ni nini? Naona Kuna haja watanzania tupate elimu ya nini maana ya demokrasia, tukishaelewa nini maana yake ndo Sasa tutajua nani anayeongoza Kwa demokrasia hapa Afrika.
Neno linatumika vibaya
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…