Makonda: Tumewasilisha ombi Content Creators walipwe zaidi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Tanzania imewasilisha ombi UNESCO la kutambua Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii ili vijana wanaotengeneza maudhui kwa lugha ya Kiswahili walipwe vizuri.

"Kupitia Balozi wetu wa Tanzania aliyeko Ufaransa, tumeshawasilisha maombi yetu rasmi UNESCO ili watusaidie kwenye mazungumzo na kampuni ya Meta pamoja na kampuni ya Google, ili Kiswahili kitambuliwe na vijana wetu wanaotengeneza maudhui kwa lugha ya Kiswahili waanze kulipwa kupitia followers na watu wanaotazama maudhui yao" -Amesema Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Viongozi kama hawa wanatupeleka shimoni! Wakati dunia inapambana na kukamata technologia, ili kugundua ndege za kivita zisizoonekana ktk Rada, sisi tunawawezesha vijana wawe machawa waisifue CCM!
Tukija kuamka makaa ya mawe na dhahabu zetu zote zipo China, na sisi hatuna kitu!
 
Shirika la elimu, Sayansi na utamaduni lina mamlaka gani ya kuziingilia kampuni binafsi za marekani kupanga viwango vyao vya malipo ya kibiashara?
 
Nchi hii ina ma-vilaza viongozi bure kabisa. Huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe na wanamteua. Sijawahi kuna mtu wa hovyo kama huyu. Hapo hujaweka boss wake ni Samia. Halafu mnauliza kwa nini nchi inazidi kuwa maskini.
Wamekutana hapo pipa na mfuniko.
Miaka 30 ijayo tutapiga mark-time.
Too much blaah blaah
 
Uhai ni mungu na namshukuru kila siku , huyo huyo mungu ametupa utajiri wa inchi

Huu utajiri wa mali asili ni wetu wote, ni cake yetu wote, kwanini mle wachache?

Nyie msomeshe watoto shule mzuri, muwe na majumba na magari mazuri

Sisi tubakie na tunaimba Aman Aman tu ?

Mbona nyie hamuoni amani wakati mnalipana posho za mamilioni?

Nenda zanzibar leo ukaone vijana wa zanzibar wanavyopewa platform

Sisi hapa kwetu viongozi wakubwa wa kimataifa wakija tunaambiwa tusionekane posta

Zanzibar wageni wakimataifa wakienda wanapelekwa kwenye makachu, eneo la vijana, wanaacha mahela kibao

Tukilalamika tunaambiwa tutunze amani
SGR ni miongoni mwa keki tamu sana ya taifa , je mnakula wachache gentleman?
mabarabara ya lami kote nchini ni keki ya taifa kwa waTanzania wote, je mnakula wachache?
mahospitali na mashule bora sana yaliyojengwa kote nchini ni keki ya taifa, je wanakula wachache gentleman?

umeme unaozalishwa kutoka bwawa la mwalimu nyerere ni keki ya Taifa, je, wanaonufaika nao ni wachache?

hayo mengine ni hisia tu,
but rasilimali za Tanzania ni kwa manufaa na maslahi mapana ya waTanzania wote.

ni muhimu sana vijana kutumia teknolojia na kuongeza ubunifu katika kutengeneza maudhui yenye tija ili kujikwamua kiuchumi, kuliko kulalamika tu kusiko na faida yoyote bali kupoteza muda
 
Jumlisha hayo yote uliyosema hapo, je gharama zake zinaendana na deni letu la taifa?

Je hayo yote uliyosema yanaendana na dhahabu zetu zilizochimbwa since Uhuru?

Chukua yooooote hayo then linganisha Mali zetu zilizouzwa na zinazoendelea kuuzwa hapo ndio utagundua tulitakiwa kuwa na hayo unayosema 20yrs Back

Hizo barabara ni zipi? Ni hizi ambazo mbunge Jana kasema serikali ianzishe Kodi mpya ya kutengeneza barabara?

Hiyo sgr ni version ya mwaka gani? Na Sisi tuko mwaka gani?
 
Gentleman,
jitahidi kua na hoja huru, lakini pia jifunze kua na agenda.
usahihi na msingi wa majibu yangu kwenye mambo unayoyaibua nje ya hoja ya msingi mezani, yasikufanye kuhamisha mjadala wa jumla mezani,

itoshe tu kusema,
vijana wote Tanzania inafaa kuchangamkia na kutumia fursa iliyotangazwa na wizara kuhusu maudhui na kuonyesha vipaji na ubunifu wao kwa maslahi ya taifa lakini pia kubadili maisha yao.

mambo mengine madogomadogo yasiyo na athari yoyote kijamii, kisiasa au kiuchumi yasitupotezee muda sana
 
Mlianza kutuambia vijana tusome sana

Tumesoma mpaka now tuna degree mbili mbili

Mkaja na tujiajiri coz hamna ajira now mnakuja na agenda mpya kuwa tuwe content creator, mbaya zaidi baada ya nyie kuwa ndio wateja wa content zetu ndio kwanza mnaandika Barua meta kuomba tulipwe zaidi kutoka meta not kutoka serikali yetu

😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂
 
nikielezea ulicho ibua,
utakija na swali jingine au utaibua kipya kingine, hapatakua na mwisho wa mjadala.

ni wazi una mambo mengi moyoni na akilini na unatafuta relief, kwa bahati mbaya muda ni mchache sana kwa upande wangu na unisamehe kwa hilo. wakati mwingine tutajadiliana kwa kina zaidi kwa mtindo huo huo wa jibu kuzaa swali, mjadala usio na muafaka wala mwisho.

tujikite kwenye kubuni maudhui muhimu kwa maslahi ya taifa.
 
Sawa tubuni maudhui muhimu kwa maslahi ya taifa, swali la mwisho mteja wa hayo maudhui ni nani?

Why serikali asiwe mteja wa kwanza?

Why serikali inaweza kumgaramia mtoa maudhui wa ulaya na wa Tanzania yupo?
 
hilo ndilo lengo haswa la mpango huo gentleman.

gentleman,
ukibuni maudhui ya kutangaza vivutio au utamaduni wa kitanzania,
promota na mteja wako wa kwanza wa maudhui hayo ni serikali na bila hiyana itakuwezesha kijamii, kiuchumi na kisiasa ili hatimae ufanye vizuri zaidi kwa masalahi mapana ya waTanzania na Taifa kwa ujumla.
 
Gentleman,
nikielezea ulicho ibua,
utakija na swali jingine au utaibua kipya kingine, hapatakua na mwisho wa mjadala.

ni wazi una mambo mengi moyoni na akilini na unatafuta relief, kwa bahati mbaya muda ni mchache sana kwa upande wangu na unisamehe kwa hilo. wakati mwingine tutajadiliana kwa kina zaidi kwa mtindo huo huo wa jibu kuzaa swali, mjadala usio na muafaka wala mwisho.

tujikite kwenye kubuni maudhui muhimu kwa maslahi ya taifa.
Acheni kuwajaza watoto ujinga mkawaingiza kuwashawishi wengi waingie/wawe sijui malcontent creator ,content zenyewe ujingujing tu wanafanya
Sana vijana wa kiume kukatika mauno na wanawake kuonesha makalioo tu

Ova
 
hilo ndilo lengo haswa la mpango huo gentleman.

gentleman,
ukibuni maudhui ya kutangaza vivutio au utamaduni wa kitanzania,
promota na mteja wako wa kwanza wa maudhui hayo ni serikali na bila hiyana itakuwezesha kijamii, kiuchumi na kisiasa ili hatimae ufanye vizuri zaidi kwa masalahi mapana ya waTanzania na Taifa kwa ujumla.

😄 🤣 😂
 
Acheni kuwajaza watoto ujinga mkawaingiza kuwashawishi wengi waingie/wawe sijui malcontent creator ,content zenyewe ujingujing tu wanafanya
Sana vijana wa kiume kukatika mauno na wanawake kuonesha makalioo tu

Ova
kupanga ni kuchagua gentleman,
hao vijana wakiskiliza maoni yako na kuendelea na msoto wa maisha ni sawa, lakini wakitumia fursa iliyotolewa na wizara pia ni uamuzi wao huru.

hakuna wa kumlazimisha kijana kuchangamkia fursa hiyo.

ukataji maono kwa vijana wa kiume sio kontent ya utamaduni wa kiTanzania, atapuuzwa tu mbunifu mwenye maudhui ya aina hiyo.
 
Back
Top Bottom