Makonda: Tumewasilisha ombi Content Creators walipwe zaidi

Makonda: Tumewasilisha ombi Content Creators walipwe zaidi

Namuunga mkono. Ukiwa na website au app, google hawakubali kutangaza kupitia platform yako kama unaweka maudhui ya kiswahili, eti hawasupport lugha. Lakini mtu akiwapelekea tangazo lililo katika lugha ya kiswahili na kuwalipa hawakatai! Mbona Youtube video za kiswahili zinakuwa monetized!
Hili si la kushtaki UNESCO. Akishirikiana na nchi zinazoongeq kiswahili wanaweza kuzishinikiza Meta na Google zisupport kiswahili.
 
Hatutasahau hata wakipiga sarakasi za aina gani.

Wauaji wanataka watu walipwe kwenye mitandao ilhali wanaifungia?

Walishindwa kuwatagenezea vijana mazingira mazuri wajiajiri wao tangu wanapiga kelele huduma za Paypal ziwe rasmi mwaka wa 10 sasa hayo mapenzi kwa vijana yametokea wapi ghafla kutoka kwa hawa manyang'au?

20260414_084725.jpg
 
Back
Top Bottom