Kwani akiwasamehe atapoteza nini.??Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Asibakize kitu, yeye ni kamanda, lazima afagie kikosi kizima cha aduiKwani akiwasamehe atapoteza nini.??
Labda waliompora kageto kake ndo awaonyeshe kuwa wa mbili havai moja na kuteleza si kuanguka na kwamba maisha ni safari, kuna kupanda na kushuka.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Tenda wema uende zako usingoje shukrani,Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
KIONGOZI UNATAKIWA UWE MUADILIFUMakonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Hivi huyo Makonda wenu ana nguvu ipi ya kuwashughulikia GSM? Hivi unaifahamu GSM na mizizi yake wewe?Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Huna akili. Acha visasi wewe mchonganishiMakonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Fita imefika pazuriMakonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Harafu akija kushuka tena? Hizo sio akiliKwani akiwasamehe atapoteza nini.??
Labda waliompora kageto kake ndo awaonyeshe kuwa wa mbili havai moja na kuteleza si kuanguka na kwamba maisha ni safari, kuna kupanda na kushuka.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Wajinga mpo wengi sana CCMMakonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Punguza chuki mkuu,Asibakize kitu, yeye ni kamanda, lazima afagie kikosi kizima cha adui
Naona Chiembe haukutegemea kabisa Makonda awe katibu mwenez wa, CCM. Ulimponda Sana. Sasa, umeona Makonda, ananawiri umeamua kumchafua. Tulia, dawa iwaingie.Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji