Makonda, ukimalizana na GSM, kaisambaratishe kampuni ya WASAFI ya Diamond, ulikuwa mlezi wao, ulipokosa madaraka wakakufukuza

Makonda, ukimalizana na GSM, kaisambaratishe kampuni ya WASAFI ya Diamond, ulikuwa mlezi wao, ulipokosa madaraka wakakufukuza

Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.

Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Huo uchochezi sasa. Acha akili za roho mbaya
 
Back
Top Bottom