GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani unataka chatu anapokumeza atoe machozi!Najua Makonda yuko nasi 24/7 hapa JamiiForums na pia huwa ananisoma sana GENTAMYCINE na hata Chawa wake Waandamizi kuanzia UVCCM, CCM Taifa na hata Serikalini wapo wengi mno hapa, hivyo nategemea kupata Mirejesho mingi kutoka Kwao na hata wale JamiiForums Members wengine Wanaompenda na Kumkubali.
Asante.Pumbavu
haujalia mkuuSijasoma mada ila nimesikitika sana
ROMA atapatikana siku ya jumapili.Kiukweli Mwenezi Sisi wana CCM wako tulioko hapa JamiiForums ( GENTAMYCINE nikiwemo ) na tunakukubali ile kinoma noma tutashukuru zaidi kwa Wewe Mwenezi wetu Mpendwa ukisema ilikuwaje Ben Saanane alipotea Kusikojulikana ukiwa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na hata Wazazi wake nao walivyotaka kujua hatima ya Mtoto wao hukuwapa Ushirikiano wowote ule?
Naamini kabisa Mwenezi wangu CCM Makonda hutotuangusha wana CCM Wenzako kwa Kutujibia ili ujisafishe na hata CCM inayounda Serikali na Watendaji wake Waandamizi na hata Sisi wana CCM Wenzako hapa JamiiForums tusafishike na Dhambi hiyo na tuzidi Kukupamba.
Nakukubali sana Mwenezi Makonda.
Nimelia sana mkuu, imagine watu wanafanya ukatili wa kutisha namna hiyo hakika huyo mume ana kesi kubwa ya kujibu mbele ya mungu kwa kufanya ukatili huo kwa mke wake.haujalia mkuu
Namm nimeanzisha Uzi wa namna hiNajua Makonda yuko nasi 24/7 hapa JamiiForums na pia huwa ananisoma sana GENTAMYCINE na hata Chawa wake Waandamizi kuanzia UVCCM, CCM Taifa na hata Serikalini wapo wengi mno hapa.
Hivyo nategemea kupata mirejesho mingi kutoka kwao na hata wale JamiiForums Members wengine wanaompenda na kumkubali.