Pre GE2025 Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi

Pre GE2025 Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Nyota ya Makonda ni kali sana; haimaanishi eti kwamba ana akili sana.

Hichi ndo nimekuwa nikiwaambia watu
 
Jamaa hajui hata genius wake ni waziri wa wizara ipi?
Hii nchi viongozi wake janjajanja nyingi ila kichwani hamna kitu
Mwingine kingereza broken hivi angeamua kwenda na mkalimani wa kutafsiri kiingereza au kichina angepungukiwa nini?
 
Hicho ndicho kiburi cha bashite ila atambue kwamba aliekuwa akimlinda na kumtetea hayupo.
 
Nyota ya Makonda ni kali sana; haimaanishi eti kwamba ana akili sana.

Hichi ndo nimekuwa nikiwaambia watu
Hayati Ndugulile alikua na nyota kali zaidi na akili zaidi.

Akashinda kura za maoni akiwa kwenye msiba wa mzazi wake ikimaanisha hata ukumbi wa kupigia kura hakuwepo akawashinda walokuwepo.

Unakua na nyota kali halafu tena una maakili mengi ni bahati sana kuwa na vyote hivyo na huhitaji hata media kila siku.

Hayati Ndugulile alinishangaza sana.
 
Back
Top Bottom