Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo Jumatatu ya Machi 03, 2025 akiwa ameambatana na Waziri wa ardhi Deogratius John Ndejembi kutembelea mabanda kwenye maonyesho ya wiki ya mwanamke Jijini Arusha wamekutana uso kwa uso na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo.
Pia, Soma
Mi mwenyewe sijaelewaKimetokea nini sasa?
Ukali upi?...Acha uchawaNyota ya Makonda ni kali sana; haimaanishi eti kwamba ana akili sana.
Hichi ndo nimekuwa nikiwaambia watu
Sema Sangoma wake ndiye mkali.Nyota ya Makonda ni kali sana; haimaanishi eti kwamba ana akili sana.
Hichi ndo nimekuwa nikiwaambia watu
Daah!Hichi ndo nimekuwa nikiwaambia watu
Hayati Ndugulile alikua na nyota kali zaidi na akili zaidi.Nyota ya Makonda ni kali sana; haimaanishi eti kwamba ana akili sana.
Hichi ndo nimekuwa nikiwaambia watu