Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.

Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa safari?

Gari ikielekea kugonga obviously dereva anaitoa upande wake na kuelekeza upande wa kushoto ambapo Makonda husimama, ajali ndogo ya kugonga inaweza kuondoka na maisha ya konda pekee.

20241204_171746.jpg

20241204_173339.jpg

Jana basi la Mallesas limegonga lori kwa nyuma, binti mrembo ambaye alikuwa ni konda akapoteza maisha papo hapo.

Apumzike kwa amani na Makonda wengine wachukue tahadhari kama sio kubadili utaratibu wa kukaa karibu na kioo cha gari.
 
View attachment 3168930

View attachment 3168932

Jana basi la Mallesas limegonga lori kwa nyuma, binti mrembo ambaye alikuwa ni konda akapoteza maisha papo hapo.

Apumzike kwa amani na Makonda wengine wachukue tahadhari kama sio kubadili utaratibu wa kukaa karibu na kioo cha gari.
Dahh ardhi inakulaga vitu vizuri wakuu
 
Hivi gari mpaka iende na konda maana me ninavyojua sio lazima

Watu wanakaa level seat then kunakuwa na matangazo ndani ya gari ya vituo vya kushuka kuchimba dawa na nk

Africa kivyetu vyetu sizani Kama ni lazima Basi kuwa na kondacta hasa mabasi ya mikoani
 
Alafu siku hizi Makonda wamekuwa wengi kwenye gari moja, wengine wanapanda na kushukia njiani.

Au wengine ndyo madalali wa kutafuta abiria?
 
Utawasikia kwenye kipaza..abiria mnakumbushwa kufunga mkanda kwa ajili ya usalama wenu..wakati wao ndo watu pekee kwenye basi hawafungi mkanda na wanakaa sehemu hatari
Inashangaza sana, gari ikigonga tu lazima iumize konda au hata kuchukua maisha yake...

Nakumbuka hata ile ajali ya Sauli na New force kule pwani konda alibanwa na kusababisha kifo baada ya gari kugonga.
 
Hivi gari mpaka iende na konda maana me ninavyojua sio lazima

Watu wanakaa level seat then kunakuwa na matangazo ndani ya gari ya vituo vya kushuka kuchimba dawa na nk

Africa kivyetu vyetu sizani Kama ni lazima Basi kuwa na kondacta hasa mabasi ya mikoani
Una uhakika sio lazima mkuu? Yani mwafrika wakati wa kushuka umwambie akachukue mizigo yake kwenye buti bila kumsimamia na asichukue ya wenzake?
 
Back
Top Bottom