Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #61
Siku zote ukiwa na tahadhari unaonekana mshambaUkichukua tahadhari, wanakuona mshamba ndo unaenda Dar mara ya kwanza 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote ukiwa na tahadhari unaonekana mshambaUkichukua tahadhari, wanakuona mshamba ndo unaenda Dar mara ya kwanza 😂😂
Kama unawaambia na wanabisha basi yakiwakuta ndyo watajifunza, alafu hakuna watu wajuaji kama Makonda.Kwenye page za mabus huwa napita nikikuta wamepiga picha pale mlangoni huwa lazima nicomment kuwa hiyo siyo sehemu nzuri wala salama kusimama lakini hao wataalam huwa wananishambulia sana, hiyo sehemu huwa naichukia sana kuona mtu hapo maana mwaka 2022 maeneo ya Vyeyula Dodoma niliwahi kushuhudia ajali iliyoua watu 9 hapohapo wengi walikua ma agent na kondkta pia alifariki.
Sasa hadi leo huwa nikisafiri na bus nikiona mtu amesimama hapo huwa natamani nimfate kumwambia atoke hapo ila wanapapenda na ni wabishi vibaya sana, japokua ajali inatokea upande wowote ila fatal risk ipo hapo sana
Vyema sana mkuu, nimejifunza kitu hapoSio kondakta tu,hata abiria usiwe Fala,unapokata kiketi epuka siti za mbele hasa kushoto mwa dereva.
Hata ukiwa na gari yako binafsi ukiwa na safari mke na watoto wakae nyuma
Ukipewa Abood/Shabiby devera uwe wewe uweke na kutoa mizigo kwenye buti, utatoboa?Makonda wawili wa nini? Mmoja tu anatosha. Kwanza inatakiwa tufanye kama majuu ambako gari linakuwa na dereva tu na ndiye anaweka na kutoa mizigo kwenye buti.
Hatari hiiUtawasikia kwenye kipaza..abiria mnakumbushwa kufunga mkanda kwa ajili ya usalama wenu..wakati wao ndo watu pekee kwenye basi hawafungi mkanda na wanakaa sehemu hatari
Makonda wengine hadi nafasi ya kubembea mlangoni wanakosa inabidi waje na bodabodaKama ni hivyo Rwanda wapo mbali sana, huku kwetu konda wa daladala anabembea kabisa mlangoni
Dereva nae akiona foleni imekuwa kali anashuka anakula fegi kwanzaWengine hadi nafasi ya kubembea mlangoni wanakosa inabidi waje na bodaboda
40,000/- x 30days = 1,200,000/- mkuu we ungeuza ama ungekalia?Kuna kale kakiti kao ila mara nyingi huwa wanakiuza.
Tatizo kubwa nipale kila anaye kuwa kwenye ofisi yake anataka kujionyesha yeye ni nani . Hata umwambie kuwa kuna hatari hapo hawezi kukuelewa.Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.
Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa safari?
Gari ikielekea kugonga obviously dereva anaitoa upande wake na kuelekeza upande wa kushoto ambapo Makonda husimama, ajali ndogo ya kugonga inaweza kuondoka na maisha ya konda pekee.
View attachment 3168930
View attachment 3168932
Jana basi la Mallesas limegonga lori kwa nyuma, binti mrembo ambaye alikuwa ni konda akapoteza maisha papo hapo.
Apumzike kwa amani na Makonda wengine wachukue tahadhari kama sio kubadili utaratibu wa kukaa karibu na kioo cha gari.
Makonda wa kike wengi ni wakali sana, #ripKonda alikuwa bint mtamu sanaaaaa! Yaani ni type yangu, You Know #rip😍🙏🏾
Nimesikitika sana, You Know 🙏🏾Makonda wa kike wengi ni wakali sana, #rip
Iyo iko wazi mkuu ata kama ww ndio ungekuwa dereva wa hilo basi ungefanya kama alivyo fanya bwana dereva apo.Na dereva hawezi kupeleka tofauti na upande wa konda
Tutafika huko tu japo siyo sasa, na hao madereva wataweza japo sasa hivi ni vigumu kwa sababu mabasi hayana tofauti na malori kwa kubeba mzigo. Hata wapiga debe watakuja kufa kifo cha mende.Ukipewa Abood/Shabiby devera uwe wewe uweke na kutoa mizigo kwenye buti, utatoboa?
Hapo hajampelekea ila ndiyo upande aliokuwa ana-overtake nao. Hili suala la kusema dereva anakwesha upande wake mara nyingi huwa ni porojo tu.Iyo iko wazi mkuu ata kama ww ndio ungekuwa dereva wa hilo basi ungefanya kama alivyo fanya bwana dereva apo.
inilaaah walayih rajuni hakika amekufa na utamu wake.Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.
Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa safari?
Gari ikielekea kugonga obviously dereva anaitoa upande wake na kuelekeza upande wa kushoto ambapo Makonda husimama, ajali ndogo ya kugonga inaweza kuondoka na maisha ya konda pekee.
View attachment 3168930
View attachment 3168932
Jana basi la Mallesas limegonga lori kwa nyuma, binti mrembo ambaye alikuwa ni konda akapoteza maisha papo hapo.
Apumzike kwa amani na Makonda wengine wachukue tahadhari kama sio kubadili utaratibu wa kukaa karibu na kioo cha gari.