Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu na mambo yake yote, hana dhambi ya kutuma wasiojulikana kuwapiga miti watekwaji.Wamuulize wakati Lissu anapigwa risasi yeye alikuwa wapi?
ThibitishaHuyu na mambo yake yote, hana dhambi ya kutuma wasiojulikana kuwapiga miti watekwaji.
Kichwa kitupu hicho. Hapo anajua ameongea jambo la maana kumbe ashavujisha siri. Huyu aliwahi kutamka hadharani kabisa Roma atapatikana kabla ya Jumapili.Kwani hua wanafuatilia ithibati wakiona mwandishi anauliza vitu hawezi kujibu?
Kama kuna mwandishi atafungua JF akiwa kwenye hayo mahojiano, tafadhali amuulize kwa niaba yetu hili swali:Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka waandishi wa habari kutumia fursa ya mahojiano naye kuuliza maswali magumu na yenye tija badala ya maswali mepesi, akisisitiza kuwa lengo ni kutoa majibu yatakayomwezesha mwananchi wa kawaida kuelewa kwa kina masuala yanayojadiliwa.
Makonda amewatoa hofu wanahabari hao kwa kuwahakikishia kuwa hatatilia maanani masuala ya umiliki wa ithibati au vitambulisho rasmi vya kazi wakati wa kuuliza maswali yao, bali anazingatia zaidi ubora na uzito wa maswali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo na taifa kwa ujumla.
Maswali yaulizwe kwa English language, itampendeza Makonda[/I]Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka waandishi wa habari kutumia fursa ya mahojiano naye kuuliza maswali magumu na yenye tija badala ya maswali mepesi, akisisitiza kuwa lengo ni kutoa majibu yatakayomwezesha mwananchi wa kawaida kuelewa kwa kina masuala yanayojadiliwa.
Makonda amewatoa hofu wanahabari hao kwa kuwahakikishia kuwa hatatilia maanani masuala ya umiliki wa ithibati au vitambulisho rasmi vya kazi wakati wa kuuliza maswali yao, bali anazingatia zaidi ubora na uzito wa maswali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo na taifa kwa ujumla.
Hakuna mwandishi mwenye guts za kuuliza swali kama hilo. Watakao uliza maswali lazima ameshawapanga maswali gani wamuulizeKama kuna mwandishi atafungua JF akiwa kwenye hayo mahojiano, tafadhali amuulize kwa niaba yetu hili swali:
“Mheshimiwa Makonda, ni kwa nini mpaka leo hujawahi kutoa ufafanuzi wako wa kina kuhusu tuhuma zilizowahi kutolewa dhidi yako na Serikali ya Marekani?”
Hilo ningependa kusikia jibu lake live, bila kuzunguka.