Ndiyo maana yakeKwani hua wanafuatilia ithibati wakiona mwandishi anauliza vitu hawezi kujibu?
Ndiyo maana yakeKwani hua wanafuatilia ithibati wakiona mwandishi anauliza vitu hawezi kujibu?
Watani zangu wasukuma wana mambo ya ajabu sana....hapo anawaruhusu halafu akiulizwa maswali magumu atashindwa kujibu na kuwa mkali. Waandishi wana maswali magumu. We haya tu!
SWALI je wewe ni kiongozi wa kundi la WASIOJULIKANA wanaoteka na kuuwa watu?Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka waandishi wa habari kutumia fursa ya mahojiano naye kuuliza maswali magumu na yenye tija badala ya maswali mepesi, akisisitiza kuwa lengo ni kutoa majibu yatakayomwezesha mwananchi wa kawaida kuelewa kwa kina masuala yanayojadiliwa.
Makonda amewatoa hofu wanahabari hao kwa kuwahakikishia kuwa hatatilia maanani masuala ya umiliki wa ithibati au vitambulisho rasmi vya kazi wakati wa kuuliza maswali yao, bali anazingatia zaidi ubora na uzito wa maswali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo na taifa kwa ujumla.
Kwahiyo hapo umemaanisha kwamba hana dhambi au anazo?Huyu na mambo yake yote, hana dhambi ya kutuma wasiojulikana kuwapiga miti watekwaji.
Hii picha imekuwepo kabla ya ujio wa AI. So ajibu tu swali la kwamba “mlikuwa wapi?”3. Mh. Makonda! Hii picha mlikuwa wapi? Je ni wewe au ni AI?
Ipige madole serikali ndio utajua...una. Uliza swali vizuri UKIMALIZA KUULIZA ZINAFUATA KWENSEKWENSE😊Kwani hua wanafuatilia ithibati wakiona mwandishi anauliza vitu hawezi kujibu?
Ndyo, labda anaekupa Miki anakuuliza vipi una idhibatiKwani hua wanafuatilia ithibati wakiona mwandishi anauliza vitu hawezi kujibu?
Huja wapa hakikisho Muishimiwa kama hawatasikia baada ya maswali hayo magumu,hivyo wataingiwa woga na akitokea wakuuliza atauliza maswali nyanya Tu!Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka waandishi wa habari kutumia fursa ya mahojiano naye kuuliza maswali magumu na yenye tija badala ya maswali mepesi, akisisitiza kuwa lengo ni kutoa majibu yatakayomwezesha mwananchi wa kawaida kuelewa kwa kina masuala yanayojadiliwa.
Makonda amewatoa hofu wanahabari hao kwa kuwahakikishia kuwa hatatilia maanani masuala ya umiliki wa ithibati au vitambulisho rasmi vya kazi wakati wa kuuliza maswali yao, bali anazingatia zaidi ubora na uzito wa maswali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo na taifa kwa ujumla.
Sasa je!Hakuna mwandishi mwenye guts za kuuliza swali kama hilo. Watakao uliza maswali lazima ameshawapanga maswali gani wamuulize