Makonda: Waandishi natamani leo mniulize maswali magumu, sitafuatilia kama una Ithibati

"Mh samahani kama nitakukwaza,ila kwa faida ya wadada flat-screen, nini siri ya shape yako?"
 
SWALI je wewe ni kiongozi wa kundi la WASIOJULIKANA wanaoteka na kuuwa watu?
 
Kwanini ulifuta kwa haraka post yako ya kupatikana kwa Mo Dewji huku polisi wakiwa wanamtafuta ?

Nyumba za GSM kwanini ulizirudisha ?
 
Mheshimiwa mkuu sana Paulo Makonda. Mimi sina swali zaidi ya kusikiliza majibu yako ya maswali magumu utakayoulizwa.
 
Huja wapa hakikisho Muishimiwa kama hawatasikia baada ya maswali hayo magumu,hivyo wataingiwa woga na akitokea wakuuliza atauliza maswali nyanya Tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…