Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

Mimi wangu nampaga 100% za mshahara. Kwa maana hiyo namuachia ATM card yangu.
Kwa sharti kuwa asiniulize chochote kuhusu chakula, kusomesha, matibabu, mavazi na kunitunza mimi kwa yote hayo.
Anachoshangaa anaona nadunda siombi hela kwake na simuombi hela ya mafuta ya gari wala za bar.
Kuna mahali anatamani anirudishie kadi yangu nipange mwenyewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo asilimia inalenga matumizi yapi na yapi
Kabisa, kwamba ikishatoka hiyo 40% ndio tisionane hadi mwisho wa mwezi mwingine au ndio akanunue vijora halafu me nisangalai na familia na huyo mwanamke akiwemo mwezi mzima na 60% iliyobaki... anacheza huyu kama nakula 1m nitoe 40k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mwanaume ambaye HANA KAZI mkewe ana kazi anapata nn au tusubiri siku ya WANAUME utusemee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wajane anawaohudumia hawamtoshi eeh! Hakuna mwanaume wa kugawana mshahara na mkewe maisha haya....
 
Kazi za kuajiriwa ni za kipumbavu kweli, sasa mimi kipato changu meenyewe sikijui kwa hesabu za mwezi,hiyo 40% wataipatia wapi? Halafu badala makonda awahamasishe wanawake wajitume na kujitafutia riziki zao yeye anawahamasisha waendelee kuwa wategemezi kwa wanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanawake wafanya kazi wakatwe asilimia ngapi ili twende sawa?
 
Anapenda atensheni kutoka kwa wanawake na sababu wanawake huwa wanapenda shobo kaipata hyo atensheni, this dude will do anything to stay relevant....puuz moja ivi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu jmaa ni mama kweli. Hivi anajua asilimia ngapi ya wamama wameajiliwa. He wao mishahara wampe nani? Yeye mke wake anampa asilimia ngap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bunge linye spika mbovu tu lenye uwezo wa kupokea mswaada wa kipumbavu na kishenzi. Naskia 2020 kuna jimbo anagombea. Na kaambiwa akishinda uwazir wa mambo ya ndani anapewa yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…