Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu.
Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha vita ya ushoga, kabla ya hapo hakukuwa na shida. Akaongeza yeye hawezi kukubali hilo litokee katika uongozi wake.
Wakuu mmemuelewa Makonda?