pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Bora angenyamaza jamaa wasianike kila kitu!
RIP: Ben & Others
RIP: Ben & Others
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatuona sisi watoto!Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu.
Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha vita ya ushoga, kabla ya hapo hakukuwa na shida. Akaongeza yeye hawezi kukubali hilo litokee katika uongozi wake.
Wakuu mmemuelewa Makonda?
Asome vizuri lile tangazo la Serikali ya Marekani kuhusu zuio lake la yeye kutotakiwa kuingia kwenye nchi hiyo, sababu zimeelezwa kwenye tangazo hilo.Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu.
Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha vita ya ushoga, kabla ya hapo hakukuwa na shida. Akaongeza yeye hawezi kukubali hilo litokee katika uongozi wake.
Wakuu mmemuelewa Makonda?
Huyu anawaokota punguani wenzake.Anadhani watu wote hawana akili.
Wewe hamnazo. Ni wapi Marekani ilisema imemzuia Makonda kuingia US kwa sababu ya masuala ya ushoga?huenda Pompeo pia alikua shoga ndiyo maana alishadadia jambo hilo la aibu..
Utawala mpya wa Trump hauwezi kumzuia muafrika yeyote kuingia marekani eti kwasabb anapinga huo ufirauni.
huo ni uchafu kabisa 🐒
sasa ndugu muerevu mpotoshaji, hivi aliemzuia Makonda kuingia Marekani ni shoga au sio shoga? Ana ajira kwanza kwa sasa na yupo wapi?Wewe hamnazo. Ni wapi Marekani ilisema imemzuia Makonda kuingia US kwa sababu ya masuala ya ushoga?
Taarifa ilikuwa wazi kabisa kuwa hataruhusiwa kuingia marekani kutokana na yeye makonda kuwadhulumu watu haki za kuishi, yaani Makonda ni muuaji.
Uganda hapo kuna sheria kali dhidi ya ushoga, lakini uliwahi kusikia kuna yeyote amezuiwa kuingia US?
The guy is good for the fools who can buy his crap.
Hili suala la ushoga hata wanasiasa wetu wakihojiwa huwa wanajiuma uma huwa hawanyooshi maelezo ya misimamo yao.nami nakumbuka hivi...
Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchi
Tena tulimtenga kwenye vita hii