Mbona Mike Pompeo alisema wazi kabisa suala la kudhulumu haki ya watu kuishi, anatufanya hatujui kusoma?Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu.
Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha vita ya ushoga, kabla ya hapo hakukuwa na shida.
Wakuu mmemuelewa Makonda?
Vipi na ww upo katika kundi la waliosababisha apigwe ban?Anadhani watu wote hawana akili.
Pumbavu stupid, yeye ndiye anayepinga ushoga duniani kote . Dunia kubwa inapinga ushoga lakini bado wanakwenda marekani...uganda, rwanda and so many countries. Sas hapa ndipo amejinasisha kuwa alishiriki kumpiga risasiWakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu.
Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha vita ya ushoga, kabla ya hapo hakukuwa na shida. Akaongeza yeye hawezi kukubali hilo litokee katika uongozi wake.
Wakuu mmemuelewa Makonda?
Waandishi wenyewe wanaomuuliza maswali ni machawa mkuu, unategemea watahoji hili?Mbona Mike Pompeo alisema wazi kabisa suala la kudhulumu haki ya watu kuishi, anatufanya hatujui kusoma?
Sasa wewe naye kumbe pompeo......huyo ndio muhusika kaulizwa na kajibu bado unabisha......eeehhh?? Kwani unvyoona usipoenda marekani ndio maisha hayaendi au utaishiwa damu??.............huyo pompeo alimuona makonda akifanya hayo mambo au ndio vile mnyonge mnyonge tu ................bora aliyoshinda Trump tuone kama ile ban aitofutwaMbona Mike Pompeo alisema wazi kabisa suala la kudhulumu haki ya watu kuishi, anatufanya hatujui kusoma?
huenda Pompeo pia alikua shoga ndiyo maana alishadadia jambo hilo la aibu..Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu.
Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha vita ya ushoga, kabla ya hapo hakukuwa na shida. Akaongeza yeye hawezi kukubali hilo litokee katika uongozi wake.
Wakuu mmemuelewa Makonda?
Pompeo anajua mengi bila hata kuweka mguu bongoSasa wewe naye kumbe pompeo......huyo ndio muhusika kaulizwa na kajibu bado unabisha......eeehhh?? Kwani unvyoona usipoenda marekani ndio maisha hayaendi au utaishiwa damu??.............huyo pompeo alimuona makonda akifanya hayo mambo au ndio vile mnyonge mnyonge tu ................bora aliyoshinda Trump tuone kama ile ban aitofutwa
Tatizo pia kwa waandishi. Ama ni uwezo mdogo wa kuuliza maswali au hawako well informed. Walitakiwa kumuuliza hiliMbona Mike Pompeo alisema wazi kabisa suala la kudhulumu haki ya watu kuishi, anatufanya hatujui kusoma?
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!Mbona Mike Pompeo alisema wazi kabisa suala la kudhulumu haki ya watu kuishi, anatufanya hatujui kusoma?
Si ilikuwa kipindi cha Trump? Aache uongo.Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu.
Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha vita ya ushoga, kabla ya hapo hakukuwa na shida. Akaongeza yeye hawezi kukubali hilo litokee katika uongozi wake.
Wakuu mmemuelewa Makonda?
Usiwe mpumbavu,kwani pompeo si alikuwa chini ya serikali ya Trump??Sasa wewe naye kumbe pompeo......huyo ndio muhusika kaulizwa na kajibu bado unabisha......eeehhh?? Kwani unvyoona usipoenda marekani ndio maisha hayaendi au utaishiwa damu??.............huyo pompeo alimuona makonda akifanya hayo mambo au ndio vile mnyonge mnyonge tu ................bora aliyoshinda Trump tuone kama ile ban aitofutwa