Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi
Kwa mujibu wa ratiba mpya Kituo kinachofuata ni Mkoa imara wa Mara ambapo kongamano hilo muhimu linatarajiwa kufanyika tarehe 4/9/2021 , na kwa mujibu wa Takwimu za sasa mkoa huu ndio unaoongoza kwa kuchangia askari wengi nchini Tanzania .
MUHIMU : Tuendelea kufuata muongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
Mungu ibariki Chadema