Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kuendelea kuvurumishwa nchi nzima. Kituo kinachofuata ni Mkoa wa Mara

Kwa Mujibu wa Waendesha Mashitaka, Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya Makongamano

Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Kwa mujibu wa ratiba mpya Kituo kinachofuata ni Mkoa imara wa Mara ambapo kongamano hilo muhimu linatarajiwa kufanyika tarehe 4/9/2021 , na kwa mujibu wa Takwimu za sasa mkoa huu ndio unaoongoza kwa kuchangia askari wengi nchini Tanzania .

MUHIMU : Tuendelea kufuata muongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .

Mungu ibariki Chadema

Bora umekiri mwenyewe leo kuwa alikamatwa kwa kosa la ugaidi alilolifanya.
 
Comment #3 kwenye huu uzi inasomeka hivi:

IMG_20210818_165859_742.jpg

Wapi unaposoma wewe haya:

"Bora umekiri mwenyewe leo kuwa alikamatwa kwa kosa la ugaidi alilolifanya."

Hivi umburula huwa mnausomea wapi?
 
Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Kwa mujibu wa ratiba mpya Kituo kinachofuata ni Mkoa imara wa Mara ambapo kongamano hilo muhimu linatarajiwa kufanyika tarehe 4/9/2021 , na kwa mujibu wa Takwimu za sasa mkoa huu ndio unaoongoza kwa kuchangia askari wengi nchini Tanzania .

MUHIMU : Tuendelea kufuata muongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .

Mungu ibariki Chadema

Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Kwa mujibu wa ratiba mpya Kituo kinachofuata ni Mkoa imara wa Mara ambapo kongamano hilo muhimu linatarajiwa kufanyika tarehe 4/9/2021 , na kwa mujibu wa Takwimu za sasa mkoa huu ndio unaoongoza kwa kuchangia askari wengi nchini Tanzania .

MUHIMU : Tuendelea kufuata muongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .

Mungu ibariki Chadema

Ni Vizuri mkaweka historia kupambana na hili fisi! Mkoa wa wanaume tunawaaminia

1629295717833.jpeg
 
Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Kwa mujibu wa ratiba mpya Kituo kinachofuata ni Mkoa imara wa Mara ambapo kongamano hilo muhimu linatarajiwa kufanyika tarehe 4/9/2021 , na kwa mujibu wa Takwimu za sasa mkoa huu ndio unaoongoza kwa kuchangia askari wengi nchini Tanzania .

MUHIMU : Tuendelea kufuata muongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .

Mungu ibariki Chadema

Hili genge la magaidi serikali ilifutilie mbali. Badala ya kufanya kazi, wao kutwa kucha makongamano tu. Sio bure ndio maana gaidi kawafanya nyumbu zake.
 
Tutakuja kusikia wale PT wakituambia kwamba 'intelijensia' yao inaonyesha kwamba BAVICHA wanapanga kufanya uhalifu.Kwa sababu ya maagizo kutoka juu intelijensia hugeuzwa ramli ili kufurahisha wakubwa.
 
Hilo sitashangaa kwani limegeuzwa sera rasmi ya wambambikiaji, aka wanakijani kwa masada wa vyombo saidizi ikiwamo policccm
 
Acha hasira
Sema kwa hakika una faida gani ?!. Akina Mandela ' Hakainde ' Raila etc waliwekwa ndani na madhalimu mwisho wa siku wamekuwa viongozi wa mataifa yao kwa madaraja mbalimbali.

So Mbowe kuwa ndani si faida ya Ccm bali bali kaburi
 
Faida niliyo nayo ni kuwa mimi ni mzalendo.
 
Back
Top Bottom