Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa Mujibu wa Waendesha Mashitaka, Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya Makongamano ya Katiba mpyaMwamba bado yupo Lupango.
Mmeshaanza kuelewa sasa hivi eee? na bado hiyo siyo kesi ya kisiasa ni gaidiKwa Mujibu wa Waendesha Mashitaka , Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya Makongamano ya Katiba mpya
Subiri kudhalilikammeshaanza kuelewa sasa hivi eee???? na bado hiyo siyo kesi ya kisiasa ni gaidi
nisubiri wakati nyinyi mnadhririka kila siku vipi yale maandamano alitangaza pambalu?Subiri kudhalilika
Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi
Kwa mujibu wa ratiba mpya Kituo kinachofuata ni Mkoa imara wa Mara ambapo kongamano hilo muhimu linatarajiwa kufanyika tarehe 4/9/2021 , na kwa mujibu wa Takwimu za sasa mkoa huu ndio unaoongoza kwa kuchangia askari wengi nchini Tanzania .
MUHIMU : Tuendelea kufuata muongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
Mungu ibariki Chadema
Hiyo ni sehemu katika hatua za mapambano ya ukombozi kwa MASHUJAA, na sio kwa wanaojivunia uoga wala unafiki.Mwamba bado yupo Lupango.
Hiyo ni sehemu katika hatua za mapambano ya ukombozi kwa MASHUJAA, na sio kwa wanaojivunia uoga wala unafiki.Mwamba bado yupo Lupango.
Tutamuuliza kama amepata barua kama ile anayosubiri kumkamata Gwajimawale jamaa zetu wa siku zote hawakawii kusema wamenusa harufu ya magaidi toka Tarban wanaweza kuja kuvamia mkutano huo kwa hiyo usiwepo ili kuepusha vitu vyenye ncha kali kuwadhuru mwilini.
Ni suala la muda tu, giza haijawahi kuishinda nuru kamwe tangu uumbaji wa hii dunia. ni maigizo tu waliyoyafanya ila kwa sasa washaanza kuyajutia - Plan Without Effective Mission ...Mwamba bado yupo Lupango.
Hakika !si suala la muda tu, giza haijawahi kuishinda nuru kamwe tangu uumbaji wa hii dunia. ni maigizo tu waliyoyafanya ila kwa sasa washaanza kututa - Plan Without Effective Mission ...
Endesheni makongamano yenu kama chama na si wananchiKwa Mujibu wa Waendesha Mashitaka , Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya Makongamano ya Katiba mpya
πππππππChadema inaweweseka sana. Inawaya waya kama machela.
Mwamba bado yupo Lupango.
fanyeni kazi za kuwaingizia kipato hizi drama hazitawasaidia nyie shindaneni na wakina mbowe waliojiwekeza baadae mtakuja kutafuta wachawi wa mafanikio yenu wakati ndio mnaanza kujiloga wenyewe sasa hiviTaasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi
Kwa mujibu wa ratiba mpya Kituo kinachofuata ni Mkoa imara wa Mara ambapo kongamano hilo muhimu linatarajiwa kufanyika tarehe 4/9/2021 , na kwa mujibu wa Takwimu za sasa mkoa huu ndio unaoongoza kwa kuchangia askari wengi nchini Tanzania .
MUHIMU : Tuendelea kufuata muongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
Mungu ibariki Chadema