Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kuendelea kuvurumishwa nchi nzima. Kituo kinachofuata ni Mkoa wa Mara

Kongole zenu Bavicha. Shikilieni hapohapo. "No retreat; No surrender".
 
wale jamaa zetu wa siku zote hawakawii kusema wamenusa harufu ya magaidi toka Taliban wanaweza kuja kuvamia mkutano huo kwa hiyo usiwepo ili kuepusha vitu vyenye ncha kali kuwadhuru mwilini.
Kumbuka: "Mwoga hufa mara nyingi kabla ya kifo chake".
 
fanyeni kazi za kuwaingizia kipato hizi drama hazitawasaidia nyie shindaneni na wakina mbowe waliojiwekeza baadae mtakuja kutafuta wachawi wa mafanikio yenu wakati ndio mnaanza kujiloga wenyewe sasa hivi
Kuikomboa Tanzania ndio kazi ya maana kuliko zote
 
Mungu asaidie katiba mpya ipitishwe. Ambao wanapinga hawajui faida yake. Na wengi wao wafuata mkumbo tu,, ukimuliza nini haswaa kinafanya upinge hana jibu la maana.
 
fanyeni kazi za kuwaingizia kipato hizi drama hazitawasaidia nyie shindaneni na wakina mbowe waliojiwekeza baadae mtakuja kutafuta wachawi wa mafanikio yenu wakati ndio mnaanza kujiloga wenyewe sasa hivi
Samahani: "Tumejitoshereza.mkuu. Umasikini au utajiri wetu haukuhusu. Wewe endelea tu kuvuta cannabis sativa (bangi) lako".
 
Wengine ni wanufaika uchwara tu

Masikini anapinga huku anajionea kwa viongozi wake wanaishi maisha bora na familia zao, manyumba ya kifahari na magari wanayotembelea yakifahali.huku yeye akijitaidi sana sana mlo mmoja kwa siku, hapo usafiri hana, nyumba ya kuishi hana, anaishi maisha yakubahatisha
 
Gaidi mbowe analiwa na papasi lockup,nyie kelele tu

USSR
 
Kama maV8 ya Polepole
 
Gaidi mbowe analiwa na papasi lockup,nyie kelele tu

USSR

Heri kuliwa na papasi kwa ajili ya kesho iliyo bora kwa watoto wa wajukuu zetu (wakiwamo wa kwako) kuliko wewe uliye busy kuwazibia riziki wakiwamo watoto wa wajukuu zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…