Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Zamani makongamano ya pale nkrumah hall udsm yaliyohusu siasa na maendeleo ya taifa yalikuwa yalikuwa na mvuto kwasababu yalikuwa huru na yasiyo na propaganda Kama ilivyo Sasa.
Naangalia kongamano la Uhuru tbc kila anaesimama ni magufuli magufuli Magufuli Yani yamejaa unafiki na kujikombakomba ili waonekane na mamlaka angalau huyu wa mwisho anaeongelea udhaifu wa elimu na ajira.
Vijana acheni kujikombakomba kwa magufuli huyo ni binadamu anapita na utawala wake utapita uzalendo wa kweli ni kutetea Uhuru wetu na kulifanya taifa hili liwe ni lenye haki sio vineno neno vya kukikomba kwa viongozi ili mpate teuzi.