baba njaa mbaya sana mbaba, vijana wengi wanatoka familia za choka mbaya wanatafta pa kuponea kwa hiyo inawalazim kujikomba komba huku wakijifariji kuna siku wanaweza kupewa jero, buku au kacheo flani hivi.Zamani makongamano ya pale nkrumah hall udsm yaliyohusu siasa na maendeleo ya taifa yalikuwa yalikuwa na mvuto kwasababu yalikuwa huru na yasiyo na propaganda Kama ilivyo Sasa.
Naangalia kongamano la Uhuru tbc kila anaesimama ni magufuli magufuli Magufuli Yani yamejaa unafiki na kujikombakomba ili waonekane na mamlaka angalau huyu wa mwisho anaeongelea udhaifu wa elimu na ajira.
Vijana acheni kujikombakomba kwa magufuli huyo ni binadamu anapita na utawala wake utapita uzalendo wa kweli ni kutetea Uhuru wetu na kulifanya taifa hili liwe ni lenye haki sio vineno neno vya kukikomba kwa viongozi ili mpate teuzi.
Nimeangalia kuna jamaa anajiita Roy Sarungi eti anadai Magufuli awe rais wa milele, nimebaki tu najiuliza kama huyu ni msomi au ni zuzuZamani makongamano ya pale nkrumah hall udsm yaliyohusu siasa na maendeleo ya taifa yalikuwa yalikuwa na mvuto kwasababu yalikuwa huru na yasiyo na propaganda Kama ilivyo Sasa.
Naangalia kongamano la Uhuru tbc kila anaesimama ni magufuli magufuli Magufuli Yani yamejaa unafiki na kujikombakomba ili waonekane na mamlaka angalau huyu wa mwisho anaeongelea udhaifu wa elimu na ajira.
Vijana acheni kujikombakomba kwa magufuli huyo ni binadamu anapita na utawala wake utapita uzalendo wa kweli ni kutetea Uhuru wetu na kulifanya taifa hili liwe ni lenye haki sio vineno neno vya kukikomba kwa viongozi ili mpate teuzi.
Vijana wasomi tunaowategemea walikomboe taifa, cha ajabu wanataka kuliangamiza taifa kwa sababu ya njaa zao za ajabuHawa ndio wanatuharibia nchi .
Imagine nchi ya watu milioni 60 badala ya kutetea kuimarishwa kwa taasisi zinazolitegemeza taifa wanampigania mtu mmoja aendelee kuneemesha tumbo lake na familia yake kwakisingizio Cha uzalendo daaaaah poor Tanzania.Vijana wasomi tunaowategemea walikomboe taifa, cha ajabu wanataka kuliangamiza taifa kwa sababu ya njaa zao za ajabu
Mpaka sasa mimi siajona huo uzalendo wanaouzungumza, sijuinwanatumia kipimo gani kusema jiwe ni mzalendoImagine nchi ya watu milioni 60 badala ya kutetea kuimarishwa kwa taasisi zinazolitegemeza taifa wanampigania mtu mmoja aendelee kuneemesha tumbo lake na familia yake kwakisingizio Cha uzalendo daaaaah poor Tanzania.
Vijana wasomi unaowategemea ni wepi mkuu?Vijana wasomi tunaowategemea walikomboe taifa, cha ajabu wanataka kuliangamiza taifa kwa sababu ya njaa zao za ajabu
Mtu akifika level ya University maana yake anajitambua na ana upeo wa kupambanua mambo tofauti na mtu ambae hajasomaVijana wasomi unaowategemea ni wepi mkuu?
Hao wa hapo mabibo hostel???
Mkuu hao c ndio wamepita michujo yote ya kitaifa?Vijana wasomi unaowategemea ni wepi mkuu?
Hao wa hapo mabibo hostel???
OkayMtu akifika level ya University maana yake anajitambua na ana upeo wa kupambanua mambo tofauti na mtu ambae hajasoma
Ndio nkamuuliza sincerely vijana hao anaowasema ni wepi?Mkuu hao c ndio wamepita michujo yote ya kitaifa?
Lanne
Lasaba
Fomtuu
Fomfoo
Fomsiksi
Elimuyajuu
Sasa hao ndio national cream ila ndio wamejaa utopolo vichwani.