Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.

Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.

Hali ni ngumu sana.

Walevi wa pombe kali wanajifariji
 
Kongoro tangu enzi za mababu yanaliwa lakini Ngozi labda huko kwenu ndio mnakula ngozi

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hayo madude yamenishinda kabisa kula na maude kama ulimi wa ng'ombe sijui senene watu wanatafuta kuharisha tu ...yanaandaliwa katika mazingira machafu ka nguruwe.
 
Kuandalia mazingira machafu, wote kwa sababu kongoro linauzwa hata kwenye migahawa ya maana yenye kujali usafi na hata baa za hadhi pia kongoro lipo, inategemea wewe unapokula nje na kwako hula wapi.
 
Hayo madude yamenishinda kabisa kula na maude kama ulimi wa ng'ombe sijui senene watu wanatafuta kuharisha tu ...yanaandaliwa katika mazingira machafu ka nguruwe.
Kwa nini unayaita madude?? Acha dharau na heshimu wanavyokula wenzio... Kuna jamaa alikuwa anapenda kusema hivi unawezaje kula dagaa au mlenda? Maisha yalivyomchapa akawa anasema daaah hizi dagaa tamu sanaa [emoji23] [emoji23]
 
Mazingira ya kuandaa sio safi haswa kwa sisi wabongo ni tabu tupu.
 
Back
Top Bottom