Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

Kongoro ni dawa. toka kitambo watu wanakula.
Ngozi nimeona watu wakila maeneo ya mijini zaidi now nipo kilimanjaro wilaya ya mwanga ila swala la ngozi bado watu hawajawa na njaa kiasi hiko. Samaki mpka 300 unapata kwann ule chakula cha mbwa
 
Na ngozi je? Angalau makongoro yanatoka ndani ya mwili, ngozi ambayo daima imegandana na kinyesi ina usafi gani na kwa njia gani ya usafi watayarishaji waliyo nayo?
Labda hayo makongoro uyatengeneze na kupapika wewe
 
Hayo madude yamenishinda kabisa kula na maude kama ulimi wa ng'ombe sijui senene watu wanatafuta kuharisha tu ...yanaandaliwa katika mazingira machafu ka nguruwe.
Uchafu mbona we ndio unao mwingi tu...unatembea nao kila mahali tumboni mwako humo na ukiushusha mahali hakuna wa kuusogelea zaidi ya nzi na jamii zake halafu unakuja kusingizia viumbe wasiokuwa na hatia....wengi wanaojidai kuwa wanakichef chefu kwenye vyakula aina flani...ukiwafuatilia....utakugundua magumu mengi.
 
Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.

Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.

Hali ni ngumu sana.

Walevi wa pombe kali wanajifariji
ITakua we ni wa kishua au umri wako mdogo,mwaka 1988 karibia kila nyumba walikua wanakula ngozi ya ngombe wenyewe waliita makwasu kwasu hayo ukila na ugal ni balaa tupu,sasa hiv kuna makwasu kwasu mpaka ya kitimoto.. na hii sio Tz tu mpka USA,china,russia wanakula ngoz sio umaskin ni desturi miaka nenda rudi
 
Mbona unalazimisha? 😂
Uchafu mbona we ndio unao mwingi tu...unatembea nao kila mahali tumboni mwako humo na ukiushusha mahali hakuna wa kuusogelea zaidi ya nzi na jamii zake halafu unakuja kusingizia viumbe wasiokuwa na hatia....wengi wanaojidai kuwa wanakichef chefu kwenye vyakula aina flani...ukiwafuatilia....utakugundua magumu mengi.bona
 
Aisee yaani wewe ni kama mimi. Nilikuwa nakula sana kongoro lakini siku moja nikasogea kwa jamaa anayeandaa kwa kweli niliondoka bila kumtaarifu. Jamaa kwenye vidole kumejaa fungus halafu mbichi kama madonga, nilipouliza nikaambiwa asilimia kubwa ya wauzaji wa supu ya kongoro wengi wana fungus. Halafu muda mwingine unamuona anayekuandalia anachokonoa meno yake na toothpick then anashika kongoro lako.

Suala lingine ni kwenye supu za nyama au utumbo, kwenye bar za kawaida ni jambo la kawaida SUPU YAKO KUCHANGANYWA NA SUPU ALIYOBAKIZA MTEJE MWINGINE, IKIWA NI PAMOJA NA KUPEWA CHOMBO AU KIJIKO KISICHOOSHWA. NIMEYASHUHUDIA SANA HAYA MIMI BINAFSI HADI NIKAWA NINAKWENDA UMBALI MREFU KUFUATA SUPU KWA JAMAA ANGALAU ANAYEZINGATIA USAFI
Kumbe mkuu unakula sehemu chafu chafu, Nenda kale Chakula sehemu za maana, kwenye mazingira mazuri, unaenda kula unakaa kwenye bechi au viti vya plastick vimechoka mpaka vimeshonwa, utegemee ule chakula kizuri.

Nenda kale sehemu za migahawa ya maana ama baa, sehemu kama hizo zina maji ya kutosha hivyo hata usafi huzingatiwa kwa kiasi kikubwa, ila unaenda kula mtu anatumia ndoo moja ya maji, vyombo vya plastick, unauzia pembezoni mwa barabara, utegemee usafi, kongoro linalouziwa mazingira mazuri hata bei, iko juu kidogo.
 
Hayo madude yamenishinda kabisa kula na maude kama ulimi wa ng'ombe sijui senene watu wanatafuta kuharisha tu ...yanaandaliwa katika mazingira machafu ka nguruwe.
Afya yako mgogoro mkuu.

Watu kama wewe mnakuaga na magonjwa nyemelezi mara kwa mara, kipindupindu kikiibuka nyie ndo chap mnakumbwa.
 
Back
Top Bottom