Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hayo madude ndiyo ugonjwa wang yanTanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji
Ati?Hakuna madude machafu kama makongoro
Kongoro la Mtaa wa Simba Mpanda kwa Bambo ni balaa.....Soup ya kongoro inakata hangover haraka sana
Kongoro tangu enzi za mababu yanaliwa lakini Ngozi labda huko kwenu ndio mnakula ngoziTanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji
Wanadai ni dawa ya 'joint' hasa magoti.Hakuna madude machafu kama makongoro
Nsemlwa unapata la jero. Mtaa wa Simba Ni pale kwa bonge fulani ivi black akajaa kifua. Wametizmana na Ile bar inayowika chini ya valenciaKongoro la Mtaa wa Simba Mpanda kwa Bambo ni balaa.....
Kuandalia mazingira machafu, wote kwa sababu kongoro linauzwa hata kwenye migahawa ya maana yenye kujali usafi na hata baa za hadhi pia kongoro lipo, inategemea wewe unapokula nje na kwako hula wapi.Hayo madude yamenishinda kabisa kula na maude kama ulimi wa ng'ombe sijui senene watu wanatafuta kuharisha tu ...yanaandaliwa katika mazingira machafu ka nguruwe.
Kongoro na chips kavu duuuh!! [emoji12]Kongoro + ndizi
Kongoro + chips kavu
Vipi supu ya Pweza si utatapika mpaka utumbo?? [emoji12]Nilijaribu supu ya ubongo wa ng'ombe nilishindwa kuimaliza. Kichefu chefu kilipanda mpaka puani. Mwe. Mnajirahidi mnaoiweza, nyie hamna mtakachoshindwa kula duniani.
Kwa nini unayaita madude?? Acha dharau na heshimu wanavyokula wenzio... Kuna jamaa alikuwa anapenda kusema hivi unawezaje kula dagaa au mlenda? Maisha yalivyomchapa akawa anasema daaah hizi dagaa tamu sanaa [emoji23] [emoji23]Hayo madude yamenishinda kabisa kula na maude kama ulimi wa ng'ombe sijui senene watu wanatafuta kuharisha tu ...yanaandaliwa katika mazingira machafu ka nguruwe.
Mazingira ya kuandaa sio safi haswa kwa sisi wabongo ni tabu tupu.Kwa nini unayaita madude?? Acha dharau na heshimu wanavyokula wenzio... Kuna jamaa alikuwa anapenda kusema hivi unawezaje kula dagaa au mlenda? Maisha yalivyomchapa akawa anasema daaah hizi dagaa tamu sanaa [emoji23] [emoji23]