Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Baada ya mkutano wa jana na wakazi wa Butiama hapa Mwitongo -eneo hili ni Mwitongo,lakini nyumba nilisema nimeibatiza jina " Sananda".
Baada ya ule mkutano mdogo wa jana,leo Makongoro atakutana na Jenerali Musuguri kabla na kwenda Dodoma kuchukua fomu.
Ni ajabu hawa watu wanavyopigana vijembe kabla fomu hazijachukuliwa. Jenerali Musuguri ni native wa Butiama.
Ingekuwa vizuri kama wagombea uongozi wanaofika hapa wangekuwa wanakwenda kumsalimu.
Jenerali inaelekea siku hizi anaifikiria ile vita tu;jinsi ilivyokuwa kashkash kubwa na jinsi walivyofanikiwa kushinda.

View attachment 256490
Mh. Makongoro Nyerere akiwa na Musuguri akipata baraka za mwisho kabla ya kuelekea Dodoma kuchukua fomu ya Kugombea Urais kwa ridhaa ya Chama cha Mapinduzi .