Back in the day, I was a regular here. But the democratization of the forum, forced some of us kung'atuka.
Baada ya Lowassa kuachia uwaziri mkuu niliandika article kusema kuwa watanzania washukuru their lucky star kwa sababu pamoja na kuwa kashfa ya Richmond ililingizia taifa hasara, ilizima matumaini ya Lowassa kuwa rais. Kutokana mizunguko ya kidunia sikuifanyia editing na sikupata nafasi ya kui-posti.
Vipimo vya matukio vinaonyesha kuwa leo hii Lowassa ana nafasi kama wagombea wengine kuwa rais. Na inawezekana anayo nafasi kubwa ya kuwa rais iwapo CCM itampitisha. Je Lowassa amefanya kitu gani cha maana toka aachie ngazi? Zaidi ya kutoa michango ajafanya chochote kile.
Hivyo ukinipata choice, I will go with Makongoro. Whether he's qualified or not, it doesn't matter to me.