zumbemkuu kwanza habar za asbh??
pili nimekumiss sana kule kwetu siku hizi naona umetuacha na akina Zakumi et al
well nirudi kwenye mada, ninachojiuliza kila iitwapo leo, hivi sisi kama wananchi tunazo standards za quality za rais tunayemtaka?
je hivi sisi kama raia and am talking as a very layman person here, what shall be the very attributes that i should anticipate to the coming leader?
hivi sifa za kwamba alipigana vita vya kagera vinafaa kweli kuwa sifa? Makongoro kasemwa alipigana vita, Lowassa nimepigana vita Wassira nimepigana vita sasa should we assume that war is coming so we are going to elect a person ambaye ataenda front line kutupigania?
je kuambiwa kwamba mtu ni mchumi mzuri, ana elimu ya diplomasia sijui ni mwana hitoria mzuri vinatosha kutufanya kumpata kiongozi bora na makin tunayemtaka?
mbona swala la elimu kwenye katiba liko kwamba awe na elimu ya sekondari, awe ana miaka isiyopungua 45 sijui lkn sifa hizi bado pia ni finyu sana za kusema tumzitumie kumpata rais wa nchi hii.
Hebu hapa kwanza kabisa tujadili jaman tunamtaka rais wa nchi hii awe na sifa zipi? na hapa tujiwekee records ambazo ni rahisi kuzivalidate, mfano ukisema familia yakie imeish maisha ambayo ni humble haina maana kwamba watoto wa familia wote ni humble wanaweza wakawepo ambao sio humble pia na wakajificha chin ya sifa nzuri za familia.
Labda unisaidia jambo hapa brodah!!..............sisi kama raia tulioko huku usweken ambao ukweli hata elimu tu ni shida lkn tunataka kumchagua rais je tumchague kwa kufuata chama, ama mtu, ama anavyopigiwa makofi mengi, ama jina lake ebu nisaidie tutatumia nini hasa kama standards kwenye hili?