MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Kama anakutana na Musuguri inatusaidia nini sisi wapiga kura..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ya makongoro na hao ni :-
Alipigana vita vya Kagera Tena kwa kujitolea akiwa na Umri mdogo tu wa Karibu miaka 18
Ni afisa wa jeshi mwenye taaluma ya mizinga,usalama na mikakati
Ana shahada ya mikakati ya kimataifa na Diplomasia
Na amefanikwia kujenga Jina lake mwenyewe bila kutegemea kubebwa na Jina la baba yake ...Ndio Maana aligombea kwa tiketi ya upinzani pamoja na kuwa na uhakika wa kupitishwa kwa protocol za Jina Ndani ya ccm
Familia Yao imeishi maisha very humble na ya kuridhika sana ..Kama watanzania
Kassoro pekee inayoweza kumgharimu anayotakiwa kufanyia kazi ni kudhibitisha kuwa Ana uelewa wa UCHUMI wa soko na kuwa atakuwa rafik Kwa sekta binafsi ambayo inawajibika....ni lazima akutane na wafanyabiashara awahakikishie kuwa anaunga mkono Uchumi wa kisasa ...wasikir atafuata sera za UCHUMI za babake ...unaweza usipende utajiri Kama Obama lakini unaweza kusimama wakafaulu hawa watakuwa na uhakika kabisa ...mgombea pekee ambaye hatakuwa akiwaomba wafanyabiashara rushwa ni Makongoro
Mgombea pekee ambaye hatakuwa na genge la wafanyabiashara wa kuwalipa fadhila ni yeye ....Hadaiwi pesa na Nchi kuwadi Kama Iran ..na zingine ..akiwa na washauri wazuri anaweza kufanyia kazi kwa uhuru Zaidi
1. Kwanini hamuweki sifa za Rais anayetakiwa ili wananchi wapime badala ya kutuletea watu na wasif wao dhidi ya wengine???!!!
2. Kama issue ni jeshi na vita huyu ndio mpiganaji bora wa vita hiyo??!! Wa pili alikiwa nani na wa mwisho alikuwa nani??!!!
3. Mambo ya usalama huyu ndio gwiji kweli??!!
4. Kuhusu jina hili tusiongelee sababu hakuna jinsi ya kutenga hayo mawili na ndio maana karudi huko kutangaza nia sababu ya nasaba hiyo unayotaka kuiua hapa. . . . . Hili hapana!!!
Huko kote unakotaja ni lini mliweka mzani wa kupima wengine wenye fani hizo????
Kama mmependa fine awekwe kwenye mzani kama kawaida . . . . . .
Sina tatizo lolote na yeye kwa vile ni haki yake kugombea kama anaona anao huo uwezo. Lakini kwa point ulizoziweka hapa there is no prove what so ever kuwa unachokisema ni kweli. You are probably among the few who know this!! What we are trying to do with him is a trial and error!! BIG RISK!!
In my side I do not have to convince anybody because I do not know him. He is the one who should be convincing us because we not know him. Personally, I am doubting about his capabilities as a leader especially for such higher post!! Is he the LEADER that we need at this point in time!!? To me this is a VIBE and people are being carried away with it!! This is very dangerous game ............ I do not know why we don't learn from the past because it has happened to us before!! I STILL TO CONVINCED!!
Hata msemeje ccm ni Chama dume
Na ACT ni chama jike?
Ikulu siyo maabara...! We need someone who is able to live in meritocracy sphere, pragmatism, and zero corruption sphere. Only few, their lives are compatible with these sphere!
Katika watia nia wote waliojitokeza mpaka sasa, inashangaza kujenga hoja zao juu ya upungufu ya kimfumo na kiutawala wa serikali ya CCM ambayo na wao ni sehemu ya utawala huu. Wanaongea as if ni wageni au walifungwa vitambaa machoni sasa wamefunguliwa ndiyo wanajifanya kuona upungufu na uchovu wa CCM.
Tuwe wa kweli hakuna asiyejua Ccm ilipofika haiwez kutusogeza mbele hata kwa nusu hatua,,, wengi waliobaki ni watega mingo au opportunists..
Wako kwenye serikali ya ccm kwa miaka mingi mbona walikuwa kimya mambo yalivyokuwa yanakwenda kombo... Sasa hivi kila mtia nia wa ccm ndiyo anajifanya kuona mafisadi.. kila mtu ndiyo anaijua epa escrow nk. Wakati wapinzani wakipaza sauti juu ya ufisadi huu wanaccm hawa walijifanya hawaoni na as if hakuna kosa lililofanyika..
Mwanaccm anayetangza nia kwa kujenga hoja yake juu ya ufisadi leo.. hana sifa nyingine zaidi ya UNAFIKI
Walikuwa wapi siku zote..
Sasa hivi wanamwangushia lawama Kikwete.. nashangaa hata mawaziri nao eti ni wakosoaji wa mfumo uliopo..!??
Mtawezaje kujitoa na kuwa suluhisho la matatizo wakati ninyi wenyewe n sehemu ya tatizo..
Mhe. Makongoro Nyerere ameweza kutamka maneno magumu yanayohusu mustakabali wa nchi yetu. Mfano kukemea ufisadi na rushwa. Amefanya hivi akiwa ndani ya chama. More credits to him.
Huyu atarudisha utaifa wetu na heshima ya Jeshi, Polisi, Usalama na Katiba ya Jaji WARIOBA.
Big up brother Makongoro.
Queen Esther
Don't exeggerate mkuu (hapo kwa red), usilete za samaki mmoja akioza wote wameonza - not realistic, not practical, and not fair
Watz tulio wengi tunachukia ufisadi na rushwa, lakini usituaminishe eti kila aliyeoko ccm anapaswa kulaumiwa kwa ufisadi na rushwa. For your information mambo ya ufisadi na rushwa ni ya watu wachache, often powerful people. If you are not powerful by virtual of position you hand up doing nothing, if not mere words kama una uthubutu. Bora Makongoro anauthubutu wa kukemea mafisadi na wala rushwa.
Mapungufu yapo kila chama, hata CUF, Chadema, NCCR na wengine wana mapungufu yao na unafiki vilevile. Chadema walivyokuwa wanapinga posho kinafiki machoni mwa wananchi huku wanaendelea kuzipokea. Mbowe alivyokataaga gari la serikali kinafiki huku analitumia, walivyoweka ndg zao na mahawala zao viti maalum. Mifano iko mingi, lakini hatuwezi ku-generalize eti ukawa wote hawafai kwa sababu ya madudu ya hao wachache ndani ya ukawa. Tukifanya hivyo hatuwatendei haki wengine, so let us be honest and realistic.
BTW sishangai kusikia exeggerations kama hizi kwa Makongoro kwani tunajua wazi jamaa ni threat kwa ukawa.
cc DSN, Andrew Nyerere, baro, Edson, Ndalama, lancanshire, Ndallo, makorere, kwamtoro
Nachoweza kusema, Mimi ni mwana CCM mzalendo , nirudi nyuma kidogo kukumbushia kauli ya Mkiti wa CCM taifa aliyoitoa songea siku ya maadhimisho ,nanukuu " kuna watu tutawashawishi , wachukue fomu" kauli hii ilichukuliwa kusiasa lakini ilikuwa nzito sana , kwa taarifa za ndani makongoro nyerere ndiye chaguo la watu wa mfumo kwa sababu kuu zifuatazo
1 ndiye candidate atakaemaliza makundi ndani ya Ccm
2 ndiye candidates mwenye kuweza kurudusha heshima ya CCM na taifa
3 ndiye candidates msafi na asiye tiliwa shaka kwa uadilifu wake ,rejea mabilioni ya Gaddafi ambayo kupitia familia yake ya baba wa taifa ilizikataa kuzipokea na kusema ipewe serikali ijenge shule ,hospital n.k , fedha ambazo ziliibiwa na mgombea flani anaetangaza nia tarehe 6/7 kwa kumuua balozi wa libya
4 ndiye candidates pekee mwenye uthubutu wa kupambana na lowasa kwa vitendo na lowasa kukosa la kumfanya , kwani lowasa kama kinara wa mtandao wa mafisadi mtu pekee anayemuogopa ni makongoro nyerere
5 ndiye candidates , anaekubalika nje ya Tanzania na kupendwa na nchi nyingi ambazo zilitaka kujitolea kumsaidia msaada wa pesa lakini alikataa na kusema wazalendo wa Tanzania ndio wataniweka madarakani( wananchi) na sio pesa , nchi hizo n kama china , USA ,Zimbabwe ,Uganda ,SA n.k
Hivyo , ili CCM ibaki madarakani na kurudisha heshima huko duniani na kuleta maendeleo ya haraka turufu iko kwa Makongoro Nyerere
hawafai wote,awe mtoto wa nyerere,awe mtoto wa karume,awe mtoto wa mwinyi,awe mtoto wa mkapa,awe mtoto wa kikwete,hawatufai kabisa kwa hapa tulipofikia tuseme imetosha.
akutuna na sisi tutakaopiga kura masuguri atamsaidia nini?