The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Tofauti ya makongoro na hao ni :-
Alipigana vita vya Kagera Tena kwa kujitolea akiwa na Umri mdogo tu wa Karibu miaka 18
Ni afisa wa jeshi mwenye taaluma ya mizinga,usalama na mikakati
Ana shahada ya mikakati ya kimataifa na Diplomasia
Na amefanikwia kujenga Jina lake mwenyewe bila kutegemea kubebwa na Jina la baba yake ...Ndio Maana aligombea kwa tiketi ya upinzani pamoja na kuwa na uhakika wa kupitishwa kwa protocol za Jina Ndani ya ccm
Familia Yao imeishi maisha very humble na ya kuridhika sana ..Kama watanzania
Kassoro pekee inayoweza kumgharimu anayotakiwa kufanyia kazi ni kudhibitisha kuwa Ana uelewa wa UCHUMI wa soko na kuwa atakuwa rafik Kwa sekta binafsi ambayo inawajibika....ni lazima akutane na wafanyabiashara awahakikishie kuwa anaunga mkono Uchumi wa kisasa ...wasikir atafuata sera za UCHUMI za babake ...unaweza usipende utajiri Kama Obama lakini unaweza kusimama wakafaulu hawa watakuwa na uhakika kabisa ...mgombea pekee ambaye hatakuwa akiwaomba wafanyabiashara rushwa ni Makongoro
Mgombea pekee ambaye hatakuwa na genge la wafanyabiashara wa kuwalipa fadhila ni yeye ....Hadaiwi pesa na Nchi kuwadi Kama Iran ..na zingine ..akiwa na washauri wazuri anaweza kufanyia kazi kwa uhuru Zaidi
Nafikiri utakuwa umeandika haya kwa mapenzi binafsi na familia ya Nyerere kwa vile Nyerere alikuwa ni kipenzi cha Watanzania. Hivi kupigana Kagera ukiwa na miaka 18 inakuwa ni certificate ya kuupatia Urais!!? There are families that lost their beloved ones and never been recognized or rewarded!!
Makongoro kuwa hana kashifa yeyote inawezekana kabisa ni kwa vile hajakaa na kufanya kazi kwenye system. Tuambie amefanya kazi wapi na ameweza kuepuka temptation za rushwa!! So far hatujawahi hata kumsikia akipiga vita rushwa zaidi ya kuwachacharikia wachache waliokuwa wanakipa bad image chama!! ndiyo maana kwenye speech yake kaanza na EL!!
Kama kweli ni kiongozi mzuri ilikuwaje kweli CCM washindwe kumuona siku zote mpaka leo!! Akina Mkapa, Kikwete na Mwinyi mbona walishindwa kum-groom hata kwa kumpa tu Ukuu wa Wilaya ili kila mtu aaone uwezo wake kama kiongozi. Doing an experiment on us would be a BIG risk. Leaving POOR and staying humble as a family was never their choice, it was rather Mwalimu's choice and his kind of life style. We cannot be so sure what's really in his mind. What we are trying to do here is to speculate or postulate!!
We all know by now, we will NEVER have another Nyerere or his replica!!