Siyo ufalme; anagombea akitokea nje ya system kabisa. Hajwahi kuwemo kwenye system ya utawala hata pale baba yake alipokuwa hai. Sijona mgombea mwingine ambaye hajawahi kuwa waziri au naibu waziri.Nipo Jasusi. Napenda ufalme. Makongoro - Rais. Hussein Mwinyi - Makamu. Joseph Sokoine- Prime Minister. List ya 1983-1984.
Siyo ufalme; anagombea akitokea nje ya system kabisa. Hajwahi kuwemo kwenye system ya utawala hata pale baba yake alipokuwa hai. Sijona mgombea mwingine ambaye hajawahi kuwa waziri au naibu waziri.
Katika watia nia wote waliojitokeza mpaka sasa, inashangaza kujenga hoja zao juu ya upungufu ya kimfumo na kiutawala wa serikali ya CCM ambayo na wao ni sehemu ya utawala huu. Wanaongea as if ni wageni au walifungwa vitambaa machoni sasa wamefunguliwa ndiyo wanajifanya kuona upungufu na uchovu wa CCM.
Tuwe wa kweli hakuna asiyejua Ccm ilipofika haiwez kutusogeza mbele hata kwa nusu hatua,,, wengi waliobaki ni watega mingo au opportunists..
Wako kwenye serikali ya ccm kwa miaka mingi mbona walikuwa kimya mambo yalivyokuwa yanakwenda kombo... Sasa hivi kila mtia nia wa ccm ndiyo anajifanya kuona mafisadi.. kila mtu ndiyo anaijua epa escrow nk. Wakati wapinzani wakipaza sauti juu ya ufisadi huu wanaccm hawa walijifanya hawaoni na as if hakuna kosa lililofanyika..
Mwanaccm anayetangza nia kwa kujenga hoja yake juu ya ufisadi leo.. hana sifa nyingine zaidi ya UNAFIKI
Walikuwa wapi siku zote..
Sasa hivi wanamwangushia lawama Kikwete.. nashangaa hata mawaziri nao eti ni wakosoaji wa mfumo uliopo..!??
Mtawezaje kujitoa na kuwa suluhisho la matatizo wakati ninyi wenyewe n sehemu ya tatizo..
Siyo ufalme; anagombea akitokea nje ya system kabisa. Hajwahi kuwemo kwenye system ya utawala hata pale baba yake alipokuwa hai. Sijona mgombea mwingine ambaye hajawahi kuwa waziri au naibu waziri.
Hapa sasa urais nchi hii ni kwa watoto wa marais tu. Kwan inavyoelekea wameshajipanga. Anaingia makongoro miaka kumi. Akitoka anaingia hussein mwinyi miaka kumi akitoka anaingia ridhiwan. Miaka kumi. Wengine cjui kama kwa mpango wa urais wa kuridhiana cjui itakuwaje.
Back in the day, I was a regular here. But the democratization of the forum, forced some of us kung'atuka.
Baada ya Lowassa kuachia uwaziri mkuu niliandika article kusema kuwa watanzania washukuru their lucky star kwa sababu pamoja na kuwa kashfa ya Richmond ililingizia taifa hasara, ilizima matumaini ya Lowassa kuwa rais. Kutokana mizunguko ya kidunia sikuifanyia editing na sikupata nafasi ya kui-posti.
Vipimo vya matukio vinaonyesha kuwa leo hii Lowassa ana nafasi kama wagombea wengine kuwa rais. Na inawezekana anayo nafasi kubwa ya kuwa rais iwapo CCM itampitisha. Je Lowassa amefanya kitu gani cha maana toka aachie ngazi? Zaidi ya kutoa michango ajafanya chochote kile.
Hivyo ukinipata choice, I will go with Makongoro. Whether he's qualified or not, it doesn't matter to me.