MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
CCM wenyewe wanamkatilia mbali kila siku.Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
Anatafuta kuteuliwaa tu hakuna jingineHivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
Msiba huu ni wa dada yake na huyo unayemtolea mfano hahusiki na msiba, ukifiwa vaa shati la kijani kwani inalipa, hata Polepole analijua hilo.Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
Naunga mkono hoja!Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
Uwongo mtupu huu; mimi nilisoma naye, alikuwa kiongozi wa bendi ya shule akiwa anapiga bass gitaa. Asingeua mtu huko mitaani asichukuliwe hatua.
Kwahiyo mtu akipiga gitaa na ukiwa umesoma naye hawezi kuua? Utetezi gani huu?
Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani?....
Mkuu heshima yako.Nilisoma naye tangu O level hadi A level Tabora School; wakati wa vita ya Uganda tukiwa JKT yeye alipelekwa frontline, lakini mimi na baadhi yetu tukawekwa communications unit ya Brigade.
Hivi unamjua Kichuguu vizuri hapa JF?Msamehe,Hawa ndio huwa wanaenda jela kwakutojua kuongea
Vitu vidogo vidogo visikushughulishe utapata ugonjwa wa kisukariHebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
Aache kuchanganya msiba na siasa. Huo ni uchochezi utakaopelekea uvunjifu wa amani.Kwani mtu anapangiwa wapi avae nguo yake aliyonunua kwa mapenzi yake na kwa pesa zake?
Usipende kukuza vitu vidogo,na wewe siku nyingine vaa gwanda