Kyakashombo
Senior Member
- Oct 13, 2018
- 151
- 232
Akili yake anaijua mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibaya kivipi? Mtu kuvaa nguo ya ccm tena kwenye msiba wa familia yake nyie inawahusu nini?? Kama angekuja na hiyo nguo kwako hapo ungelalamika.Kumbuka huyu huyu makongoro amewahi kuwa mpinzani. Kitu kama ni kibaya wacha kisemwe
CCM ya Rais Magufuli ( ya Awamu hii ya Tano ) imepata bahati mbaya mno ya kuwa na Moron Supporters kama hivi Wewe. CCM ijitathmini haraka.We jamaa nakuita mjinga. Unampangia mtu avae nini? Wewe hiyo nguo ya ccm inakuhusu nini?
Wewe ni mjinga, nani amekuambia mimi ccm? Nimekueleza mtu kuvaa shati la chama nyumbani kwake kwenye shughuli zao sisi haituhusuCCM ya Rais Magufuli ( ya Awamu hii ya Tano ) imepata bahati mbaya mno ya kuwa na Moron Supporters kama hivi Wewe. CCM ijitathmini haraka.
Marehemu Rosemary Nyerere kwa jinsi nilivyomjua na alivyowazidi Watoto wote wa Hayati Akili ( IQ ) asingeweza Kumwambia avae Jezi ya CCM.Wewe ni mjinga, nani amekuambia mimi ccm? Nimekueleza mtu kuvaa shati la chama nyumbani kwake kwenye shughuli zao sisi haituhusu
Unajuaje kama huyo mdogo wake alimwambia siku akifa avae shati analopenda? Na yeye shati analopenda ndio hiko la ccm?
thanks for your service.Nilisoma naye tangu O level hadi A level Tabora School; wakati wa vita ya Uganda tukiwa JKT yeye alipelekwa frontline, lakini mimi na baadhi yetu tukawekwa communications unit ya Brigade.
Hili jamaa ndo maana lilipigwa ban kwa ile Id nyingine....Post za kiumbea hizi: Kwa nini usiende kumwambia makongoro mwenyewe badala yake utuletee sisi? Utakerwaje na mavazi ya mtu mwingine?
We jamaa unazidi kuonyesha kuwa ni mjinga. Hiyo IQ umewapima lini?Marehemu Rosemary Nyerere kwa jinsi nilivyomjua na alivyowazidi Watoto wote wa Hayati Akili ( IQ ) asingeweza Kumwambia avae Jezi ya CCM.
Sasa kama Hayati Baba yao namjua vyema tu na kupita pia katika Malezi yake nikiwa Mdogo hadi najitambua nitashindwa Kuwajua Watoto wake?We jamaa unazidi kuonyesha kuwa ni mjinga. Hiyo IQ umewapima lini?
Unamjua Rose kuliko kaka yake anavyomjua?
Unawajua kuliko wao wanavyojijua?Sasa kama Hayati Baba yao namjua vyema tu na kupita pia katika Malezi yake nikiwa Mdogo hadi najitambua nitashindwa Kuwajua Watoto wake?
Nafikiri wewe ndiye mjinga wa kuleta ukada msibaniKibaya kivipi? Mtu kuvaa nguo ya ccm tena kwenye msiba wa familia yake nyie inawahusu nini?? Kama angekuja na hiyo nguo kwako hapo ungelalamika.
Acheni ujinga nyie wajinga
Wewe ndie mjinga kwa kufatilia mavazi ya mtu kwenye msiba wa familia yaoNafikiri wewe ndiye mjinga wa kuleta ukada msibani
Anaipenda sana ccmHivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani?
Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.