Hizo ni dalili za JF kuishiwa.swala la mavazi ya MTU tunakaa kuumiza vichwa kujadili duu ni hatari ,itafika MDA tutawazia kuanzia kujadili hata faraga ya MTU na mke wake.kuishiwa ni hatari Sana tafadhali tuangalie vitu vya mana.
thanks for your service.
Swali
Kwa kuwa umemfahamu Mako muda mrefu tangu shuleni ambapo tabia ya mtu haijifichi saaana. Hivi huyu jamaa hakuwai kuwa na hekima kabisaa ya kiungozi au aliharibikiwa na ulevi kama wengi wanavyomuita.
Hapana, alikuwa na tabia nzuri tu, tena ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa vijana shuleni. Ila siku moja aliendesha mgomo dhidi ya uongozi wa shule kwa kuwa tulikuwa tunapikiwa chakula kibovu!
Tunaweza kujadili sera na na tabia za viongozi, lakini asiyo kujibu mada alioandikiwa mtu raia mwingine. Ukisoma mada hiyo iliandikwa kama barua ya kwenda kwa makongoro, sasa sisi tutaingiliage barua ya mtu mwingine.